Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

Yaan Russia hata sisimizi hajaguswa mbona mnapenda kujidanganya, uwanja wa vita ni Ukraine, nakukumbusha juzi tu hapa Putin kahutubia halaiki ya watu hadharani sasa hiyo meseji sijui unampa Putin yupi
Wale wote aliohutubia asilimia kubwa ni Wanajeshi waliokuwa wamevaa nguo za kiraia kutoka Crimea

Ile ilikuwa sherehe ya kusherehekea Cremea kuwa huru!i mbona hakwenda Cremea kuhutubia hiyo sherehe? Sababu siyo ya Russia!!
Cremea pia kwa nini hawakufanya sherehe kwao wakaipeleka Moscow kwa nini wasifanye kwao halafu wamwite Putin Kama mgeni rasmi aliyewasaidia kuwapigania kuwa huru ahutubie?
Wale waliojazana na wa Cremea ule ulikuwa mchezo wa kuigiza wa Putin
 
Kwanini wajamaa wanapenda sifa na maigizo?
 
Sababu inajulikana mheshimiwa. Kumbuka Ukreine alitaka kujiunga na umoja wa kujihami wa nchi za magharibi yaani NATO. Na Rusia anaipinga hatua hiyo kwa kuwa tendo LA ukreine kuwa kwenye jumuia hii ni sawa na kumkaribisha mmarekani Rusia. Kumbuka Rusia na Ukreine wanashare mpaka na baadhi ya raia wa pande hizi mbili wana muingiliano warusia wanaishi ukreine na waukreine wanaishi Rusia hivyo ni kama nchi moja.
 
Nchi za kijamaa zinaendeshwa Sana kwa uongo na propaganda nyingi, hivyo Urusi ilikuwa inakuzwa mno kuliko uhalisia.
 
Nchi za kijamaa zinaendeshwa Sana kwa uongo na propaganda nyingi, hivyo Urusi ilikuwa inakuzwa mno kuliko uhalisia.
Wakati mkiendelea kuongea pumba huku Russia anaendelea kutoa vipigo
Your browser is not able to display this video.
 
Uchambuzi umeenda shule sana.Heko mkuu!
 
Matapeli, propaganda za kijinga, kujimwambafai kumbe hamna kitu, na hisi kuna makomandoo wa US wapo ukrain wanajifunza mbinu za kupigana na russia.
Ni kweli wapo na ndio hao wanauliwa alafu CNN wanasingizia kwamba ni waandishi wa habari wanauwawa kumbe ni Makomandoo wa USA
 

Usifananishe Urusi na US Hata Urusi angeamua kuua raia nchi ingekua mikononi mwake sasa,,,US wanarusha mabomu kuua watu hawajali watoto wagonjwa wazee wao kuua tu
 

Libya? Hata Iraq hawakuchukua zaid ya siku 30 wakawa tayar Baghdad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…