Kuuelewa mchakato Domestication of Animals ulivyofanyika kunanipa sana ugumu

Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado...

Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa.

Cc Interlacustrine R
Watakwambia huoni simba waliopo kwenye zoo? Nawe waulize kwanini wasichukue mmbwa wa kufugwa wawapeleke porini kuwa mmbwa mwitu?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Wanasema ukimchukua mnyama mmoja aliyezaliwa porini na kuanza kumziesha kukaa naye siyo domestication bali ni 'taming'.

Wanadai kuwa ili domestication ifanyike sharti uwachukue wanyama wengi halafu uanze kufanya artificial selection, yaani unawaendeleza wale wenye tabia unayoona inafaa wawenayo ukitaka kukaa nao, mfano upole, kuzaana haraka n.k.

Hapo kwenye mamba watakuambia kuwa si Kila mnyama anaweza kuwa domesticated kwa sababu ya ukali wake au watakuambia unaweza kumfuga ukimchukua mamba ila mpaka awe domesticated atachukua generations nyingi sana.
 
Mwaka 200 BC

Kuna kijana mmoja aliyeitwa Phabas kutokea kwenye falme ya nanjiriti alikuwa mpenda wanyama sana

Hapo tunarudi mpaka miaka ya 150 BC kabla ya ya kuku hajamzaa yai ndiyo Yai bado haijui dunia kulitokea maandamano makubwa ya wanyama wakidai haki zao

Miaka 300 Bc ndiyo zizi la kwanza la n'gombe lilijengwa hiyo kutokana na viumbe vingi hasa samaki kuanza kufugwa kwenye mabwawa

Usisahau kusubscribe channel yangu
 
Mwaka 200 BC

Kuna kijana mmoja aliyeitwa Phabas kutokea kwenye falme ya nanjiriti alikuwa mpenda wanyama sana

Hapo tunarudi mpaka miaka ya 150 BC kabla ya ya kuku hajamzaa yai ndiyo Yai bado haijui dunia kulitokea maandamano makubwa ya wanyama wakidai haki zao

Miaka 300 Bc ndiyo zizi la kwanza la n'gombe lilijengwa hiyo kutokana na viumbe vingi hasa samaki kuanza kufungwa kwenye mabwawa

Usisahau kusubscribe channel yangu
Nimeshaisubscribe.
 
Wanasema ukimchukua mnyama mmoja aliyezaliwa porini na kuanza kumziesha kukaa naye siyo domestication bali ni 'taming'.

Wanadai kuwa ili domestication ifanyike sharti uwachukue wanyama wengi halafu uanze kufanya artificial selection, yaani unawaendeleza wale wenye tabia unayoona inafaa wawenayo ukitaka kukaa nao, mfano upole, kuzaana haraka n.k.

Hapo kwenye mamba watakuambia kuwa si Kila mnyama anaweza kuwa domesticated kwa sababu ya ukali wake au watakuambia unaweza kumfuga ukimchukua mamba ila mpaka awe domesticated atachukua generations nyingi sana.
Hata koboko lazima tu atawaoutshine na watajitetea kama kawa .

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Back
Top Bottom