Kuuelewa mchakato Domestication of Animals ulivyofanyika kunanipa sana ugumu

Mwaka 200 BC

Kuna kijana mmoja aliyeitwa Phabas kutokea kwenye falme ya nanjiriti alikuwa mpenda wanyama sana

Hapo tunarudi mpaka miaka ya 150 BC kabla ya ya kuku hajamzaa yai ndiyo Yai bado haijui dunia kulitokea maandamano makubwa ya wanyama wakidai haki zao

Miaka 300 Bc ndiyo zizi la kwanza la n'gombe lilijengwa hiyo kutokana na viumbe vingi hasa samaki kuanza kufugwa kwenye mabwawa

Usisahau kusubscribe channel yangu
Mh! ngumu kumeza mkuu.
 
Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado...

Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa.

Cc Interlacustrine R
Tuanze na Mbwa,
Walikuwa Mbwa mwitu waliokuwa wanazengea na kudoea makombo ya nyama yaliyokuwa yanatupwa na binadamu, wale Mbwa waliokuwa wapole zaidi walitengeneza mazingira ya kukubalika zaidi na binadamu wakaendelea kupata chakula kingi zaidi na kuzidi kuzaliana zaidi wakiendeleza genes za mbwa watiifu kwa binadamu na hata kuanza kubweka kutoa taarifa wakiona viumbe wengine tofauti wanakaribia makazi ya binadamu wao.

Baadaye akili za binadamu zilipoongezeka akaendelea mbele zaidi kuwafanyia selective breeding kwa matumizi yake mbalimbali.
 
Tuendelee na punda.
 
Back
Top Bottom