secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha nilikuwa kwa Milka neliisoMdogo wangu Monetary doctor wewe si ulisoma sana biology, njoo basi!
Kwa hiyo huna hata idea juu ya vile nguruwe alivyoanza kufugwa?Hahaha nilikuwa kwa Milka neliiso
Ninayo msee si unafugia kwa bandaKwa hiyo huna hata idea juu ya vile nguruwe alivyoanza kufugwa?
Watakwambia huoni simba waliopo kwenye zoo? Nawe waulize kwanini wasichukue mmbwa wa kufugwa wawapeleke porini kuwa mmbwa mwitu?Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado...
Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa.
Cc Interlacustrine R
Mzee Masawe aliniambia nguruwe zamani alikuwa ngiri, baadaye ngiri akakamatwa na wazee wa zamani wakaanza kumfuga.Ninayo msee si unafugia kwa banda
Unatukosea msee 🤣Mzee Masawe aliniambia nguruwe zamani alikuwa ngiri, baadaye ngiri akakamatwa na wazee wa zamani wakaanza kumfuga.
Wanasema ukimchukua mnyama mmoja aliyezaliwa porini na kuanza kumziesha kukaa naye siyo domestication bali ni 'taming'.Watakwambia huoni simba waliopo kwenye zoo? Nawe waulize kwanini wasichukue mmbwa wa kufugwa wawapeleke porini kuwa mmbwa mwitu?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hahaha 😂Unatukosea msee 🤣
Karibu tule fitu vya mbari tsa mburu mseeHahaha 😂
Nimeshaisubscribe.Mwaka 200 BC
Kuna kijana mmoja aliyeitwa Phabas kutokea kwenye falme ya nanjiriti alikuwa mpenda wanyama sana
Hapo tunarudi mpaka miaka ya 150 BC kabla ya ya kuku hajamzaa yai ndiyo Yai bado haijui dunia kulitokea maandamano makubwa ya wanyama wakidai haki zao
Miaka 300 Bc ndiyo zizi la kwanza la n'gombe lilijengwa hiyo kutokana na viumbe vingi hasa samaki kuanza kufungwa kwenye mabwawa
Usisahau kusubscribe channel yangu
Hata koboko lazima tu atawaoutshine na watajitetea kama kawa .Wanasema ukimchukua mnyama mmoja aliyezaliwa porini na kuanza kumziesha kukaa naye siyo domestication bali ni 'taming'.
Wanadai kuwa ili domestication ifanyike sharti uwachukue wanyama wengi halafu uanze kufanya artificial selection, yaani unawaendeleza wale wenye tabia unayoona inafaa wawenayo ukitaka kukaa nao, mfano upole, kuzaana haraka n.k.
Hapo kwenye mamba watakuambia kuwa si Kila mnyama anaweza kuwa domesticated kwa sababu ya ukali wake au watakuambia unaweza kumfuga ukimchukua mamba ila mpaka awe domesticated atachukua generations nyingi sana.
Niandaliea topleya hapo.Karibu tule fitu vya mbari tsa mburu msee
Tangu lini mbari tsa mburu zikawa na topleya msee kindege cc MtambachuoNiandaliea topleya hapo.
Mkuu, hivi unajua kuwa Kuna ng'ombe ambao bado wako porini. Wale ambao hawakuwahi kuwa domesticated.Hata koboko lazima tu atawaoutshine na watajitetea kama kawa .
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hebu nieleze huo msosi aisee! Hapa natokwa tu na udenda 😋Tangu lini mbari tsa mburu zikawa na topleya msee kindege cc Mtambachuo
Ndroooo hivyo babanguuuu tujitahidi turud TacriMkuu, hivi unajua kuwa Kuna ng'ombe ambao bado wako porini. Wale ambao hawakuwahi kuwa domesticated.