Kuuelewa mchakato Domestication of Animals ulivyofanyika kunanipa sana ugumu

Mh! ngumu kumeza mkuu.
 
Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado...

Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa.

Cc Interlacustrine R
Tuanze na Mbwa,
Walikuwa Mbwa mwitu waliokuwa wanazengea na kudoea makombo ya nyama yaliyokuwa yanatupwa na binadamu, wale Mbwa waliokuwa wapole zaidi walitengeneza mazingira ya kukubalika zaidi na binadamu wakaendelea kupata chakula kingi zaidi na kuzidi kuzaliana zaidi wakiendeleza genes za mbwa watiifu kwa binadamu na hata kuanza kubweka kutoa taarifa wakiona viumbe wengine tofauti wanakaribia makazi ya binadamu wao.

Baadaye akili za binadamu zilipoongezeka akaendelea mbele zaidi kuwafanyia selective breeding kwa matumizi yake mbalimbali.
 
Maruhu wo muorotsa ni ndizi kama mchare inakuwa haijakatwa unaichemsha kwenye nyama supu inaingia ndani yana kuwa matamu sana unakunywa na supu na nyama.
Unajua kuna mchare pure
Halafu Kuna nyingn km mchare Ila inaitwa mlali,
Ambapo ndizi zote mbili ni nzuri zaidi kwa machalari ama mchemsho msee 🤣.....
 
Tuendelee na punda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…