Kuuliwa kwa Kevin Darwin, colonel wa MOSSAD mwenye shabaha kumeihuzunisha Israel yote. Alipelekwa Gaza kuwasaka viongozi wa Hamas

Kwamba IDF wasife wamekuwa maroboti ama, hiyo ni kawaida ya vita acheni kujitoa ufahamu ila msichokijua ni kwamba kifo Cha IDF mmoja basi lazima aondoke na Hamas 100.
 
Kufa vitani kitu cha kawaida tu,
Kaka yake Netanyahu alikufa wakati wa kuwaokoa mateka entebe Uganda, 1977!
 
Mbona kama naona wanaotetea upande ule kama uelewa wao upo chini sana. Vyanzo vya kuaminika vinatuambia tofauti na wao wanavyoleta uzi humu
 
Mbona uchokozi mlianza wenyewe saiv mnaomba huruma??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kuomba huruma hapo bali kufuata sheria za vita ni razima na ndio maana zikawekwa ?
 
Kuna msemo wa kivita tunawaambia askari wetu, niseme kwa kiswahili" hakuna ushindi kwenye uwanja wa vita bila machozi na uzuni.
Kazi ya jeshi ni ya ajabu sana siyo kama kufanya kazi kiwandani, kadiri askari wako wanavyokufa ndivyo unaijua nguvu ya adui.
Ni swala la muda tu Hamas na IDF kitaeleweka.
 
Si haba…
 
Mbona kama naona wanaotetea upande ule kama uelewa wao upo chini sana. Vyanzo vya kuaminika vinatuambia tofauti na wao wanavyoleta uzi humu

Kevin was considered the most dangerous Mossad officer and earned the nickname “Black Snake”. It was reported that Kevin was involved in the murder of Qassam Commander Mahmoud al-Mabhuh in Dubai in 2010.
 
Kevin was considered the most dangerous Mossad officer and earned the nickname “Black Snake”. It was reported that Kevin was involved in the murder of Qassam Commander Mahmoud al-Mabhuh in Dubai in 2010.
Sasa mmatumbi mwenzangu nimeandika kiswahili wewe unajibu kiingereza ndio umagharibi au ushamba unakusumbua sio kila mtu anajua kiingereza kama ulitaka nikuelewe hapo basi sijapata chochote acha shobo na lugha za wenzako janja
 
Wauliwe tu iliwe fundisho
 
Guruwe jingine limekufa Asante Mungu

Gaza itageuka makaburi ya hawa mashoga wavamizi

Piga makenge hayo mavaa pampas!!

Go Hamas Go

Go wapi wakati wamejificha mashimoni kama mende,wanaume wanatamba ndani ya gaza,kama hamas vidume kweli waibuke waje wapigane vita halisi.

Pia kufa mwanajeshi vitani ni matokeo ya vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…