Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kwamba IDF wasife wamekuwa maroboti ama, hiyo ni kawaida ya vita acheni kujitoa ufahamu ila msichokijua ni kwamba kifo Cha IDF mmoja basi lazima aondoke na Hamas 100.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa vitani kitu cha kawaida tu,Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza,kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na uwezo wake wa kuua na kujificha bila kugunduliika
Black mamba ndiye aliyehusika na kumuua kiongozi maarufu wa kipalestina Mahmoud aLmabhooh nchini Dubaij mwaka 2010 moja ya mauwaji yaliyoonekana ya kiufundi sana duniani kwa namna alivyomfikia mlengwa wake.
Hali hiyo imekuwa kinyume alipokwenda kuwawinda viongozi wa Hamas kwani ameutliwa kabla hajampata yeyote kati yao na kuwatia huzuni kubwa vikosi vyote vya IDF mpaka kupelekea kuvuja kwa siri ya kifo chake.
Hiki ni moja ya vifo vya maafisa wakubwa vilivyolazimika kujulikana.Hata hivyo idadi ya askari wa kawaida wanaokufa bila kutangazwa inaaminika ni kubwa sana
The killing of a intelligence officer shocks Tel Aviv
Colonel Kevin Darwin
View attachment 2816978
Hakuna kuomba huruma hapo bali kufuata sheria za vita ni razima na ndio maana zikawekwa ?Mbona uchokozi mlianza wenyewe saiv mnaomba huruma??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna msemo wa kivita tunawaambia askari wetu, niseme kwa kiswahili" hakuna ushindi kwenye uwanja wa vita bila machozi na uzuni.Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza,kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na uwezo wake wa kuua na kujificha bila kugunduliika
Black mamba ndiye aliyehusika na kumuua kiongozi maarufu wa kipalestina Mahmoud aLmabhooh nchini Dubaij mwaka 2010 moja ya mauwaji yaliyoonekana ya kiufundi sana duniani kwa namna alivyomfikia mlengwa wake.
Hali hiyo imekuwa kinyume alipokwenda kuwawinda viongozi wa Hamas kwani ameutliwa kabla hajampata yeyote kati yao na kuwatia huzuni kubwa vikosi vyote vya IDF mpaka kupelekea kuvuja kwa siri ya kifo chake.
Hiki ni moja ya vifo vya maafisa wakubwa vilivyolazimika kujulikana.Hata hivyo idadi ya askari wa kawaida wanaokufa bila kutangazwa inaaminika ni kubwa sana
The killing of a intelligence officer shocks Tel Aviv
Colonel Kevin Darwin
View attachment 2816978
Si haba…Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza,kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na uwezo wake wa kuua na kujificha bila kugunduliika
Black mamba ndiye aliyehusika na kumuua kiongozi maarufu wa kipalestina Mahmoud aLmabhooh nchini Dubaij mwaka 2010 moja ya mauwaji yaliyoonekana ya kiufundi sana duniani kwa namna alivyomfikia mlengwa wake.
Hali hiyo imekuwa kinyume alipokwenda kuwawinda viongozi wa Hamas kwani ameutliwa kabla hajampata yeyote kati yao na kuwatia huzuni kubwa vikosi vyote vya IDF mpaka kupelekea kuvuja kwa siri ya kifo chake.
Hiki ni moja ya vifo vya maafisa wakubwa vilivyolazimika kujulikana.Hata hivyo idadi ya askari wa kawaida wanaokufa bila kutangazwa inaaminika ni kubwa sana
The killing of a intelligence officer shocks Tel Aviv
Colonel Kevin Darwin
View attachment 2816978
Sahihi kabisaaVita inapendeza kwa wale tu ambao hawajawahi kuishuhudia.
Mbona kama naona wanaotetea upande ule kama uelewa wao upo chini sana. Vyanzo vya kuaminika vinatuambia tofauti na wao wanavyoleta uzi humu
Sasa mmatumbi mwenzangu nimeandika kiswahili wewe unajibu kiingereza ndio umagharibi au ushamba unakusumbua sio kila mtu anajua kiingereza kama ulitaka nikuelewe hapo basi sijapata chochote acha shobo na lugha za wenzako janjaKevin was considered the most dangerous Mossad officer and earned the nickname “Black Snake”. It was reported that Kevin was involved in the murder of Qassam Commander Mahmoud al-Mabhuh in Dubai in 2010.
Udini ni zaidi ya ebolaGuruwe jingine limekufa Asante Mungu
Gaza itageuka makaburi ya hawa mashoga wavamizi
Piga makenge hayo mavaa pampas!!
Go Hamas Go
Nafsi 100 za watotoApumzike kwa amani shujaa kevin..n mzee wa kazi netanyahu ameshasemaa damu bingwa huyu italipwa na nafsi mia moja za mapalestina dah! mwarab kakosea njia kwa myahudi hapaa..
Fafanua 'vya zo vya kuaminika' ukitoa mifanoMbona kama naona wanaotetea upande ule kama uelewa wao upo chini sana. Vyanzo vya kuaminika vinatuambia tofauti na wao wanavyoleta uzi humu
Wakiuliwa hawa wavaa kobazi pia unatakiwa useme asante Mungu----Guruwe jingine limekufa Asante Mungu
Gaza itageuka makaburi ya hawa mashoga wavamizi
Piga makenge hayo mavaa pampas!!
Go Hamas Go
Kauliwa na Wanamgambo wa Israel baada kushambulia GazaMbongo mwenzetu kauliwa wala hamshtuki kisa mkristo aiseee mna roho mbaya sana nyie watu
Wauliwe tu iliwe fundishoKuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari.
Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na uwezo wake wa kuua na kujificha bila kugunduliika.
Black mamba ndiye aliyehusika na kumuua kiongozi maarufu wa kipalestina Mahmoud aLmabhooh nchini Dubaij mwaka 2010 moja ya mauwaji yaliyoonekana ya kiufundi sana duniani kwa namna alivyomfikia mlengwa wake.
Hali hiyo imekuwa kinyume alipokwenda kuwawinda viongozi wa Hamas kwani ameutliwa kabla hajampata yeyote kati yao na kuwatia huzuni kubwa vikosi vyote vya IDF mpaka kupelekea kuvuja kwa siri ya kifo chake.
Hiki ni moja ya vifo vya maafisa wakubwa vilivyolazimika kujulikana.Hata hivyo idadi ya askari wa kawaida wanaokufa bila kutangazwa inaaminika ni kubwa sana
The killing of a intelligence officer shocks Tel Aviv
Colonel Kevin Darwin
View attachment 2816978
Guruwe jingine limekufa Asante Mungu