Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Slay queen hawataki uulize bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
slay queen wa Sinza yule, pesa mbele
Slay queen hawataki uulize bei
Mimi kabka sijaenda mahali najua how much I want to spend and on top of that lazima uongeze 20%, na pia huwezi enda na hela kamili, mfukoni kila wakati unakuwa kama na extra 50,000.
Kamq makadirio yangu ni kutumia 15000, nitakuwa na 20,000 just incase, na pia lazima mahali popote nilipo na kuwa na 50,000 kwenye wallet, na pia Mpesa na Simbaking?
When I pick a restaurant na kuwa na consideration zote hizi, sasa, swali:
Kwa maelezo hayo, why should I ask of a price?
Niliwahi kwenda Mwanza kwenye shughuli fulani,pembezoni ya hotel tuliyokuwapo palikuwa na mgahawa mzuri tu. Nikaulizia mchemsho samaki unagharimu kiasi gani? Nikaambiwa Tsh.11000.00 nikambiwa hiyo ni samaki kichwa,yaan nusu,nikaona kama ni bei sana. Basi nkamwambia naomba chai ya maziwa na chapati mbili,hapo sikuuliza bei nkijua itakuwa ni kama bei zetu zile😂😂😂,bill imekuja ni Tsh. 8000.00,nilitukana matusi yote kimoyomoyo ila nikalipa. Kama ningeuliza bei ya chai na chapati basi bila shaka ningechagua mchemsho wa samaki.
Kuuliza bei kabla ya kuagiza ni jambo sahihi kabisa.
Mleta mada na wewe malofa wote tena wakubwa Mnampeleka watu kwa mams nitilie huko ndiko.myu huuliza chakula bei ganiSlay queen hawataki uulize bei
Kwani shureni urisomea ujinga 😅😅😅
Sasa wewe ushakaa kwenye kiti unauliza bei ili nini
Sehemu kama hiyo utaita out ya kupeleka mtu wako? Unajua out wewe?Hiyo ilinitokea Mafinga, MTU kaleta chai ya maziwa. Nikamuuliza bei yake akaniambia elfu 5000. Nikamwambia aniletee Menu anasema hotel Ile haina menu. Nikamwambia nikamwambia ninampigia Mwenye hotel kuwa ameajiri Watu wasio waaminifu.
Ndio anasema Ati maziwa kikombe elfu 2.
Mleta mada na wewe malofa wote tena wakubwa Mnampeleka watu kwa mams nitilie huko ndiko.myu huuliza chakula bei gani
Segemu za kula za kueleweka kwenye meza unakuta karatasi yenye menu zote na bei
Eee jamani vyuo vifungue tu vitoto vya shule viondoke humu.jamii forums vikajiunge vyuo huko
Unaenda kula sehemu ya kueleweka unauliza bei ya chakula?
Hopeless kabisa mleta mada pamoja ns wewe
Sehemu kama hiyo utaita out ya kupeleka mtu wako? Unajua out wewe?
Usiige kunya kwa tembo
Ushajijibu mwenyewe kwa kusema hotel za kifahari, huwezi kutengewa maji ya kunywa kama kwa mama Ally.Hoteli za kifahari zote zina menu.
Hujiulizi Kwa nini?
Ushajijibu mwenyewe kwa kusema hotel za kifahari, huwezi kutengewa maji ya kunywa kama kwa mama Ally.
Point tupu kijana, wengi in civilized countries wanaenda outdoors na specific budget, so lazima uletewe menu yenye prices ili uone how are you going to spend hapo ulipoenda. Bora ubaki na ushamba ila financial discipline is a very good thing.
Nimekupata vizuri kwamba matajiri they normally spend wisely na watataka kujua what is inside the box.Hoja yangu nadhani umeipata kuwa Kwa matajiri bei lazima iulizwe au iwekwe bayana.
Kwa sababu matajiri na wenye Akili hulinganisha bei na ubora. Kisha hata kama anahela anaweza ghairisha
Wew ni slay queen wa BuzaMleta mada na wewe malofa wote tena wakubwa Mnampeleka watu kwa mams nitilie huko ndiko.myu huuliza chakula bei gani
Segemu za kula za kueleweka kwenye meza unakuta karatasi yenye menu zote na bei
Eee jamani vyuo vifungue tu vitoto vya shule viondoke humu.jamii forums vikajiunge vyuo huko
Unaenda kula sehemu ya kueleweka unauliza bei ya chakula?
Hopeless kabisa mleta mada pamoja ns wewe
Nimekupata vizuri kwamba matajiri they normally spend wisely na watataka kujua what is inside the box.
They go for quality.