Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
It happened to Me, Kuna Mgahawa unaitwa Tanzanite halafu ile Menu niliposoma nikadhani utakuwa ni Msosi wa maana kumbe ni Chapati siyo kaangwa na Mafuta na haina chumvi na Kibirika kina Chai ya Spices kibao kama unakula Pilipili. Bili inakuja kama 17,000?=. Ushamba sometimes ni hasaraπππ