Kuuliza Bei Kabla ya Kula uwapo Outing ni Akili na kujiamini lakini Malofa huona aibu

Kuuliza Bei Kabla ya Kula uwapo Outing ni Akili na kujiamini lakini Malofa huona aibu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
It happened to Me, Kuna Mgahawa unaitwa Tanzanite halafu ile Menu niliposoma nikadhani utakuwa ni Msosi wa maana kumbe ni Chapati siyo kaangwa na Mafuta na haina chumvi na Kibirika kina Chai ya Spices kibao kama unakula Pilipili. Bili inakuja kama 17,000?=. Ushamba sometimes ni hasara
 
KUULIZA BEI KABLA YA KULA UWAPO OUTING NI AKILI NA KUJIAMINI LAKINI MALOFA HUONA AIBU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Mmetoka out, mmefika kwenye mgahawa, mnaagiza chakula. Huoni aibu kuagiza chakula lakini unaona aibu kuulizia bei Kabla ya kuagiza. Hivi unaakili kweli? Ukiitwa Mshamba unarusha ngumi.

Kwa sasa Dar es salaam
Sasa unasuburi mpaka nilewe ndio uje kunikumbusha nimekunywa local bia 7 naletewa bill 32000
IMG_20230828_174708.jpg
 
It happened to Me, Kuna Mgahawa unaitwa Tanzanite halafu ile Menu niliposoma nikadhani utakuwa ni Msosi wa maana kumbe ni Chapati siyo kaangwa na Mafuta na haina chumvi na Kibirika kina Chai ya Spices kibao kama unakula Pilipili. Bili inakuja kama 17,000?=. Ushamba sometimes ni hasara
πŸ˜‚πŸ˜‚Pole sana mm Huwa nauliza sana tu sijui ndio umaskini
 
Halafu , you are not a Masikini bhana, You are growing . πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwakweli ela inaniuma mno hata nikitolewa nipo km mchawi yaani nitauliza tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miss Aaliyyah , Sasa ndio unanicheka au unaona maneno yangu ni kichekesho ? You are not a Masikini because You are among the word's really people though tuko Mtandaoni, Haujizimi data na kujipostia content zisizo kuwa na afya.
 
Back
Top Bottom