The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kujitegemea ndio huko serikali imeweka tozo mnaanza kulia Lia hadi imepunguza,kujitegemea ni pesa sio maneno ya mdomoni unayosema wewe hayo.Unatakiwa Kujitegemea Hii Ni Miaka 60 Tangu Tupate Uhuru Bado Ata Kujenga Darasa Usubili Mabeberu
Wewe ambae huhangaiki una msaada gani sasa.account hata mwezi haina...
Yaani huyo mama yenu anahangaika..
Hawa watu ni wajinga sana. No wonder Magufuli alikuwa akidili na watu kama watumwa maana kwa uongozi wa kawaida hawaelewi. Wakiambiwa walipe kodi au tozo hawataki, halafu kutwa wanataka miradi yote ya Magufuli ikamilike, elimu, afya maji wanataka bure. Sasa hizo pesa zitatoka wapi?Kujitegemea ndio huko serikali imeweka tozo mnaanza kulia Lia hadi imepunguza,kujitegemea ni pesa sio maneno ya mdomoni unayosema wewe hayo.
Ndio maana kuna wakati natamani Samia atumie mkono wa Chuma tuu,ujue mjinga na anayeamini kwenye miujiza na uchawi tena maskini hahitaji demokrasia wala ustaarabu,atakukwamisha..Hawa watu ni wajinga sana. No wonder Magufuli alikuwa akidili na watu kama watumwa maana kwa uongozi wa kawaida hawaelewi. Wakiambiwa walipe kodi au tozo hawataki, halafu kutwa wanataka miradi yote ya Magufuli ikamilike, elimu, afya maji wanataka bure. Sasa hizo pesa zitatoka wapi?
Kwani Lazima Tuwe na Rais?Kwa sasa Tanzania haina Rais...
Kujitegemea ndio huko serikali imeweka tozo mnaanza kulia Lia hadi imepunguza,kujitegemea ni pesa sio maneno ya mdomoni unayosema wewe hayo.
Kuna nchi ziliathirika zaidi na covid, sisi hatukuathirika kivile! Sasa sijui hizo nchi zilizoathirika sana zimepewa pesa kiasi gani, sijui! Sidhan kama tulistahili kupewa pesa zote hzo kwa ajili ya covid relief, sidhan! labda kama Kuna kingine kuhusiana na hiyo pesa.
Binafsi naona kosa liko hapo...Yaani ni kuonesha jinsi gani tunaongozwa na mazuzu yaani choo mpaka kiandikwe COVID 19 kana kwamba korona ni jambo la kujivunia!
Ame omba au ni mkopo? Angalau watu wasome waondoe ujinga kama wakoMataifa omba omba yanatia kinyaaaa
Ame omba au ni mkopo? Angalau watu wasome waondoe ujinga kama wako
Na fedha za tozo zilienda wapi?Kwa kumsaidia ni kwamba wawe wanasikiliza maelezo za serikali shida majitu yamekalia kupinga kila kitu hadi ufahamu hayana.
Masharti ya hizi pesa ni kama ulivyosema kwamba yaende kwenye sekta zinazohusika na covid au kuathiriwa na covid...
Xina matumizi zaidi ya madarasa na pia hizi zimepatikana kwa pamoja wakati zile ndio hadi ufanye muamala,usipofanya hakuna pesa.Na fedha za tozo zilienda wapi?
Amekuelewa,ukiona mtu hajakuelewa,ujuwe hata darasani kuna wa kwanza na wa mwisho,kimasomo.Kuna mambo mengi huyafahamu Ila tukianza kukuelewesha utaanza kutukana labda.
Anyway hiyo pesa ni msaada unaolenga kusaidia huduma fulani zilizoathirika kutokana na madhara ya Covid 19...
Umezidi kuwaelewesha,wataelewa tu.Kwa kumsaidia ni kwamba wawe wanasikiliza maelezo za serikali shida majitu yamekalia kupinga kila kitu hadi ufahamu hayana.
Masharti ya hizi pesa ni kama ulivyosema kwamba yaende kwenye sekta zinazohusika na covid au kuathiriwa na covid...
Una shida Mahala, unadhani kutokufa wengi ndio kutoathiriwa Sana?Kuna nchi ziliathirika zaidi na covid, sisi hatukuathirika kivile! Sasa sijui hizo nchi zilizoathirika sana zimepewa pesa kiasi gani, sijui! Sidhan kama tulistahili kupewa pesa zote hzo kwa ajili ya covid relief, sidhan! labda kama Kuna kingine kuhusiana na hiyo pesa.
NakaziaHela ya msaada ni pesa huwa inakuja na masharti...mabeberu ndio wanasema fungu hili fanya hiki na kile...
HahahahahahaKwasababu wanafunzi wasisongamane,na kuambukizana COV 19.