#COVID19 Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

#COVID19 Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

Syllabus ya change impact na causal effect iingizwe kwenye mtaala wa elimu yetu kuanzia primary. Watu ni wajinga kabisa pamoja na degree walizonazo.
 
Kujitegemea ndio huko serikali imeweka tozo mnaanza kulia Lia hadi imepunguza,kujitegemea ni pesa sio maneno ya mdomoni unayosema wewe hayo.
Hawa watu ni wajinga sana. No wonder Magufuli alikuwa akidili na watu kama watumwa maana kwa uongozi wa kawaida hawaelewi. Wakiambiwa walipe kodi au tozo hawataki, halafu kutwa wanataka miradi yote ya Magufuli ikamilike, elimu, afya maji wanataka bure. Sasa hizo pesa zitatoka wapi?
 
Ndio maana kuna wakati natamani Samia atumie mkono wa Chuma tuu,ujue mjinga na anayeamini kwenye miujiza na uchawi tena maskini hahitaji demokrasia wala ustaarabu,atakukwamisha..

Hawa ni kuwapeleka Kwa staili ya punda aliyotumia Mwendazake..Alichokosea Mwendazake ni kugombana na jumuiya ya kimataifa na kururuga biashara ila angefaulu hayo kama wanavyofanya nchi nyingine tungefika mbali..

Samia asiwachekee Hawa wapumbavu na ndio wamejaa kweli Nchi,ukiwapa fursa bado watalaumu ,ukifanya kile wataponda.sasa Hawa ni kuswaga tuu kama hivi 👇

2952362_Q0f.jpg
 
Kuna nchi ziliathirika zaidi na covid, sisi hatukuathirika kivile! Sasa sijui hizo nchi zilizoathirika sana zimepewa pesa kiasi gani, sijui! Sidhan kama tulistahili kupewa pesa zote hzo kwa ajili ya covid relief, sidhan! labda kama Kuna kingine kuhusiana na hiyo pesa.
 
Mataifa omba omba yanatia kinyaaaa
 
Kwa kumsaidia ni kwamba wawe wanasikiliza maelezo za serikali shida majitu yamekalia kupinga kila kitu hadi ufahamu hayana.

Masharti ya hizi pesa ni kama ulivyosema kwamba yaende kwenye sekta zinazohusika na covid au kuathiriwa na covid...
Na fedha za tozo zilienda wapi?
 
Kuna mambo mengi huyafahamu Ila tukianza kukuelewesha utaanza kutukana labda.

Anyway hiyo pesa ni msaada unaolenga kusaidia huduma fulani zilizoathirika kutokana na madhara ya Covid 19...
Amekuelewa,ukiona mtu hajakuelewa,ujuwe hata darasani kuna wa kwanza na wa mwisho,kimasomo.
 
Kuna nchi ziliathirika zaidi na covid, sisi hatukuathirika kivile! Sasa sijui hizo nchi zilizoathirika sana zimepewa pesa kiasi gani, sijui! Sidhan kama tulistahili kupewa pesa zote hzo kwa ajili ya covid relief, sidhan! labda kama Kuna kingine kuhusiana na hiyo pesa.
Una shida Mahala, unadhani kutokufa wengi ndio kutoathiriwa Sana?

Kuna Nchi zina vifo vingi ila uchumi uliathirika kidogo na kuna Nchi zina vifo kidogo Sana ila uchumi ulianguka..

Tzn hapa kuna kipindi uchumi ulifikia growth ya 1% only na pesa za kigeni kidogo zikate,,isingekuwa dhahabu kuwa na bei kipindi chote cha Covid,Nchi ilikuwa inaenda kuwa kama Zimbabwe.

Athari zake ndio kama hizi za saizi na nyingine ni hizi hapa 👇

Screenshot_20211113-134557.png
 
Back
Top Bottom