The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
mkuu marehemu huwa hajui kituwakuu ni aje
Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.
Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!
Wajuzi wa mambo karibuni.
kwahyo Haya maneno tunayoyasema Pumzika kwa Amani ni kujifurahisha sisi tu na wala hayana maana yoyote?
umehitimisha vipi kwamba ni maneno tu wakati wewe bado haujafa?🤣Hilo ni neno la kiimani la kutiana moyo ila kiukwel mtu akifa amekufa hakuna cha kupumzika au kuangaika yani ni hayupo.
Marehemu Wanajua bhana, kinachokufa ni mwli sio roho zao, roho zao still zinaishi.
Unaupinga msahafu etiMarehemu Wanajua bhana, kinachokufa ni mwli sio roho zao, roho zao still zinaishi.
NIsipokumywa chai asubuh yan huwa nahis mawenge wenge. Bora ninywe hata kama bila kitu ninywe chai tupu tu, siku itakaa vizuriAu ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!
Wajuzi wa mambo karibuni.
marehemu ni mtu aliyekufa.Marehemu Wanajua bhana, kinachokufa ni mwli sio roho zao, roho zao still zinaishi.
ni kweli mkuu. Ila sio universal standard kwamba wote itakuwa hivyo. Kuna wasukuma wanaenda kuchunga alfajiri wanapiga ugali wakutosha. Kuna mimi nPenda juisi, kuna wanaopenda supu n.k. Hayo ni mapendeleo ila tulishafanya kama utamaduni kwa wengi wetu lazima tunywe chai asubuhi.NIsipokumywa chai asubuh yan huwa nahis mawenge wenge. Bora ninywe hata kama bila kitu ninywe chai tupu tu, siku itakaa vizuri
Unataka nihitimishe vipi nikifa wakati nikifa ndio basi tena ,alie hai ndio anaweza thibitisha aliyekufa amekufa hakuna la zaidi juu yake.umehitimisha vipi kwamba ni maneno tu wakati wewe bado haujafa?🤣
Roho ni niniMarehemu Wanajua bhana, kinachokufa ni mwli sio roho zao, roho zao still zinaishi.
Hapana mkuu, yeye ndio ajaelewa vyema huo msahafu na vlcontext nzima huyo muhubiri na hiyo sura alikoti huo mstari.Unaupinga msahafu eti
yaani ujanielewa mkuu.Unataka nihitimishe vipi nikifa wakati nikifa ndio basi tena ,alie hai ndio anaweza thibitisha aliyekufa amekufa hakuna la zaidi juu yake.
kivip mkuu Elezea?May the soul of the.....rest in peace.
.....................................
"Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa" (muhubiri 12:7)marehemu ni mtu aliyekufa.
sasa unaposema kinachokufa ni mwili na si roho zao mbona unatuchanganya?
Kwani mwili si ndio unakamilisha kiumbe ili aitwe mtu? Sasa kama unasema marehemu anakufa mwili si roho na maana ya marehemu ni mtu aliyekufa tuelewe lipi🤣!?