Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kuona roho??Marehemu Wanajua bhana, kinachokufa ni mwli sio roho zao, roho zao still zinaishi.
inafurahisha sana😂ukifariki unakua umerara tu umerest zako, kwa wa imani ndo kunakua na peace na kwa upande wa ndg zetu kuna nyundo na Scorpion tena
Mkuu ,kikawaida binadamu huwa anatamni kuishi milele bila kufa ,bila kujua kifo pia ni sehemu ya uhai , yani kifo ndio uhai wenyewe , unakufa mwili wako unaoza tunapata nishati kwa viumbe wengne ,yani hicho kinachoitwa uhai ni wewe katika hali zote, dini zinawapa matumani ya kijinga mno ,ndio maana zinawaiteni kondooo, vuka kwenye hivyo viwango vya kushikiwa ufahamu wako mkuu, kwa hofu ya kifo na ahadi za peponi.yaani ujanielewa mkuu.
Kama ambavyo wazee zamani walijua radi ni hasira ya mungu ina maana upeo wa kufikiri kwao ulikuwa mwisho.
Kwanini usiseme labda hatujui nini kitakuwepo after kufa? Kwanini umehitimisha kwamba ukifa ni basi hakuna kitu baada ya hapo?
😂😂mbona usiseme sayansi bado haijagundua na ipo kwenye utafiti unaoendelea?
Hata swali nililouliza sijajibiwa nimeambiwa vitu vingine😂😂Mkuu ,kikawaida binadamu huwa anatamni kuishi milele bila kufa ,bila kujua kifo pia ni sehemu ya uhai , yani kifo ndio uhai wenyewe , unakufa mwili wako unaoza tunapata nishati kwa viumbe wengne ,yani hicho kinachoitwa uhai ni wewe katika hali zote, dini zinawapa matumani ya kijinga mno ,ndio maana zinawaiteni kondooo, vuka kwenye hivyo viwango vya kushikiwa ufahamu wako mkuu, kwa hofu ya kifo na ahadi za peponi.
Umejuaje tatainafurahisha sana😂
Mkuu nje ya mada wewe ni mkurya?
Kondooo ukiwaambua rohoo wanachekelea ila ukiwaambia ukifa unakuwa nishati ya uhai katika maumbile mengne wananuna, 🤣🤣🤣May the soul of the.....rest in peace.
.....................................
Roho ni ya Mungu, humrejelea aliyeitoakivip mkuu Elezea?
Kwanza sayansi haipo kwenye tafiti za kugundua nini kipo baada ya kifo.yaani ujanielewa mkuu.
Kama ambavyo wazee zamani walijua radi ni hasira ya mungu ina maana upeo wa kufikiri kwao ulikuwa mwisho.
Kwanini usiseme labda hatujui nini kitakuwepo after kufa? Kwanini umehitimisha kwamba ukifa ni basi hakuna kitu baada ya hapo?
[emoji23][emoji23]mbona usiseme sayansi bado haijagundua na ipo kwenye utafiti unaoendelea?
Wewe ndio umeshindwa kupata jibu lako kwenye maelezo yangu 😁😁Hata swali nililouliza sijajibiwa nimeambiwa vitu vingine😂😂
Asante kwa kushiriki mkuu.
Nina marafiki wakurya yaani Wao kutofautisha R na L ni mtihani kushinda hesabu 😂😂😂Umejuaje tata
Kwanini unasema hakuna kitu chochote kile kipo baada ya kifo? Kwanini usiseme bado hatujui? Kwanini ni lazima kwamba hakuna kitu wakati tunaona Exactly miaka mingi nyuma teknolojia ilikuwa ndogo na watu hawakuweza kuamini kwamba unaweza kutoka Dar mpaka dodoma kwa dakika45. Kwanini tusiseme hatujui na tunalazimisha kwamba hakuna kitu?😂😂Kwanza sayansi haipo kwenye tafiti za kugundua nini kipo baada ya kifo.
Kwa sababu hakuna sehemu au kitu chochote kile ambacho kipo baada ya kifo.
Sayansi ipo kwenye tafiti na harakati za kuweza kuzuia kifo.
Unashangaa hilo hujaona matangazo ya TV na magazeti unakuta inawekwa picha ya marehemu kwenye gazeti au TV hakafu maelezo yanafuata fulani ni miska kadhaa toka umetutoka unakumbukwa sana na nduguzo fulani fulani na fulaniwakuu ni aje
Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.
Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!
Wajuzi wa mambo karibuni.
Hata sayansi kwenye masuala ya mungu ipo neutral haisimami upande wowote sababu kila siku tafiti zinaendelea.Wewe ndio umeshindwa kupata jibu lako kwenye maelezo yangu 😁😁
😂🤣🤣🤣🤣.Unashangaa hilo hujaona mstangazo ya TV na magazeti unakuta inawekwa picha ya marehemu kwenye gazeti au TV hakafu maelezo yanafuata fulani ni miska kadhaa toka umetutoka unakumbukwa sana na nduguzo fulani fulani na fulani
Sasa huyo marehemu huko aliko huwa anaangalia TV na kusoma magazeti ? Ili aone anavyokumbukwa
Neno linalostahili sio Rest in Prace au pumzika kwa amani neno linalotakiwa kutamkwa niwakuu ni aje
Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.
Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!
Wajuzi wa mambo karibuni.