Ukilala wewe mim nipo kazini ukiwa kazini wewe mim nmelala maisha ndivyo yalivyo master.lala mkuu upumzike maana kushinda Jf si mchezo kaka🤣😆😂
Nothing ni imaginary word. There is always something. Neno nothing lipo ili kuhalalisha something but even in nothing there is something. Always there is something.How did nothing come to existence?
Philosophers believe that pure nothingness does not exist and something arises from nothing.Nothing ina eleza uwepo wa kitu gani?
If there was a state of nothingness that was to actually exist it would be deemed as something because something had arisen from nothing; hence, nothing is something.Kwanza kitu gani ni nothing?
pointi💯💯Nothing ni imaginary word. There is always something. Neno nothing lipo ili kuhalalisha something but even in nothing there is something. Always there is something.
Philosophers believe that pure nothingness does not exist and something arises from nothing.
If there was a state of nothingness that was to actually exist it would be deemed as something because something had arisen from nothing; hence, nothing is something.
sawa mwanasayansiUkilala wewe mim nipo kazini ukiwa kazini wewe mim nmelala maisha ndivyo yalivyo master.
Mkuu kwan kuna mtanange apa ? Kuamini mtu akifa anaishi ni utoto ambao ulipaswa uachane nao kule vidudu.pointi💯💯
Nasubiri kuona huu mtanange hakuna mtu kuingilia ni mtu mbili tu.
Tunasubir majibu yake
Wa tz mkishiba magimbi mnaanza kupata hallucinations za mbinguni😁sawa mwanasayansi
hivi ni mada inasema mbinguni? 🤣🤣🤣🤣mkuu upo sawa lakini?Wa tz mkishiba magimbi mnaanza kupata hallucinations za mbinguni😁
😂😂😂🤣ndio maana nikakwambia pumzika kama ulivyosema.Mkuu kwan kuna mtanange apa ? Kuamini mtu akifa anaishi ni utoto ambao ulipaswa uachane nao kule vidudu.
Dawa natumia mkuu ,ila pumzika kwa amni halina maana yoyote kwa mtu aliye kufa zaidi neno hilo hutumika kuwafariji wafiwa , wala apo hakuna kigumu labda ukaze fuvu lako tena.😂😂😂🤣ndio maana nikakwambia pumzika kama ulivyosema.
Embu nionyeshe ni wapi nimesema naamini mtu akifa anaishi?🤣mkuu upo sawa kwwli au unatumia dawa?
mwanasayansi wewe unafurahisha sana. Haya pumzika mkuu.Dawa natumia mkuu ,ila pumzika kwa amni halina maana yoyote kwa mtu aliye kufa zaidi neno hilo hutumika kuwafariji wafiwa , wala apo hakuna kigumu labda ukaze fuvu lako tena.
ina maana gani mkuu?Mbombo ngafu
Kati yangu na wewe nani anafurahisha ?mwanasayansi wewe unafurahisha sana. Haya pumzika mkuu.
si wewe!😂😂Kati yangu na wewe nani anafurahisha ?
Wewe kama mtoa mada haujaweka limitation kuwa unataka wachangiaji wako kwenye hii mda wajikite wapi ,ndio maana huko juu umeona watu wanazungumzia roho na hadithi nyingine za kiimani , kwa hyo mimi kwenda huko nilikua na maana yangu sio kwako tu hadi kwa wafia dini wengine, huko kutafuta majibu unayotaka wewe ni kutoa mada huku umekuja na majibu yako mfukoni , kwa hapo umeshafeli mkuu .si wewe!😂😂
Mimi nazungumzia kwann watu wanasema pumzika kwa aman wewe unasema kuhusu mbinguni!😂😂
Mimi nazungumzia uwezekano wa sayansi inavyokuwa miaka 500 baadae huenda kukawa na majibu tofauti zaidi ya haya ila wewe umehitimisha kwamba hakuna.
Mara unazungumzia mnara wa babeli mara kisafina mara kabla ya kuzaliwa mbona hueleweki unasimamia lipi au hujaona mada inasema nini?😂😂😂😂
Ndio maanq nikakuambia pumzika ndugu.
hata hoja kujenga za kwako sielewi kidogo infro anaeleweka.Wewe kama mtoa mada haujaweka limitation kuwa unataka wachangiaji wako kwenye hii mda wajikite wapi ,ndio maana huko juu umeona watu wanazungumzia roho na hadithi nyingine za kiimani , kwa hyo mimi kwenda huko nilikua na maana yangu sio kwako tu hadi kwa wafia dini wengine, huko kutafuta majibu unayotaka wewe ni kutoa mada huku umekuja na majibu yako mfukoni , kwa hapo umeshafeli mkuu .
Mkuu kuna kitu bado haujakijua , binafsi nmesoma michango ya watu mbalimbali na nimewajibu , kuna wengne wametoa mpaka vifungu vya maandiko , wote hao nimewajibu wala wewe hukuwauliza hivyo vifungu na hizo roho zinahusiana vipi na mada yako .hata hoja kujenga za kwako sielewi kidogo infro anaeleweka.
Sasa mimi nauliza watu kwann wanamwambia MAREHEMU Rip weww unaniambia ukishiba magimbi unawaza mbinguni?🤣🤣🤣nikabaki kushangaa nikahisi labda utakuwa umekosea.
Mara unauliza kisafina halafu hapo hapo unabadilika tena unaongeleq juma na uledi🤣🤣
Huenda una kitu unatamani watu waelewe sema uwezo sasa wakufikisha embu jitahidi utueleweshe mwanasayansi🤣🤣
hapana mkuu mchango wako sema bado huwezi kufikisha ujumbe.Mkuu kuna kitu bado haujakijua , binafsi nmesoma michango ya watu mbalimbali na nimewajibu , kuna wengne wametoa mpaka vifungu vya maandiko , wote hao nimewajibu wala wewe hukuwauliza hivyo vifungu na hizo roho zinahusiana vipi na mada yako .
Kuna namna nmeshakuelewa kuwa hautaki mchango wangu kwenye hii mada yako , nikutakie kila la heri master🤗
hapana mkuu mchango wako sema bado huwezi kufikisha ujumbe.
Mbona nimewauliza huko hao wanaosema kuhusu ni mwili unakufa nasio roho😂😂wamekimbia.
Sema wewe ujaelewa mm nipo neutral na hata swali nililokuuliza ukalikimbia lipo Neutral wala sijaegemea upande.
Ila uko vzur mwanasayansi kongole
👍hapana mkuu mchango wako sema bado huwezi kufikisha ujumbe.
Mbona nimewauliza huko hao wanaosema kuhusu ni mwili unakufa nasio roho😂😂wamekimbia.
Sema wewe ujaelewa mm nipo neutral na hata swali nililokuuliza ukalikimbia lipo Neutral wala sijaegemea upande.
Ila uko vzur mwanasayansi kongole
mkuu wasukuma wapo vzuri. Asubuhi unapigwa ugali kilo5 na maziwa mtindi safi kabisa. Ukiingia kulima au kuchunga mtu anakufutia heka moja