Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

How did nothing come to existence?
Nothing ni imaginary word. There is always something. Neno nothing lipo ili kuhalalisha something but even in nothing there is something. Always there is something.
Nothing ina eleza uwepo wa kitu gani?
Philosophers believe that pure nothingness does not exist and something arises from nothing.
Kwanza kitu gani ni nothing?
If there was a state of nothingness that was to actually exist it would be deemed as something because something had arisen from nothing; hence, nothing is something.
 
Nothing ni imaginary word. There is always something. Neno nothing lipo ili kuhalalisha something but even in nothing there is something. Always there is something.

Philosophers believe that pure nothingness does not exist and something arises from nothing.

If there was a state of nothingness that was to actually exist it would be deemed as something because something had arisen from nothing; hence, nothing is something.
pointi💯💯
Nasubiri kuona huu mtanange hakuna mtu kuingilia ni mtu mbili tu.
Tunasubir majibu yake
 
Wa tz mkishiba magimbi mnaanza kupata hallucinations za mbinguni😁
hivi ni mada inasema mbinguni? 🤣🤣🤣🤣mkuu upo sawa lakini?
Embu soma kichwa cha habari huko juu?😂😂😂
Maana kuna juma na uledi, kuna kisafina mara usijue kuhusu kabla ya kuzaliwa .😂😂
Daaah embu pumzika kaka.
 
Mkuu kwan kuna mtanange apa ? Kuamini mtu akifa anaishi ni utoto ambao ulipaswa uachane nao kule vidudu.
😂😂😂🤣ndio maana nikakwambia pumzika kama ulivyosema.
Embu nionyeshe ni wapi nimesema naamini mtu akifa anaishi?🤣mkuu upo sawa kwwli au unatumia dawa?
 
Dawa natumia mkuu ,ila pumzika kwa amni halina maana yoyote kwa mtu aliye kufa zaidi neno hilo hutumika kuwafariji wafiwa , wala apo hakuna kigumu labda ukaze fuvu lako tena.
 
mwanasayansi wewe unafurahisha sana. Haya pumzika mkuu.
 
Kati yangu na wewe nani anafurahisha ?
si wewe!😂😂
Mimi nazungumzia kwann watu wanasema pumzika kwa aman wewe unasema kuhusu mbinguni!😂😂
Mimi nazungumzia uwezekano wa sayansi inavyokuwa miaka 500 baadae huenda kukawa na majibu tofauti zaidi ya haya ila wewe umehitimisha kwamba hakuna.
Mara unazungumzia mnara wa babeli mara kisafina mara kabla ya kuzaliwa mbona hueleweki unasimamia lipi au hujaona mada inasema nini?😂😂😂😂
Ndio maanq nikakuambia pumzika ndugu.
 
Wewe kama mtoa mada haujaweka limitation kuwa unataka wachangiaji wako kwenye hii mda wajikite wapi ,ndio maana huko juu umeona watu wanazungumzia roho na hadithi nyingine za kiimani , kwa hyo mimi kwenda huko nilikua na maana yangu sio kwako tu hadi kwa wafia dini wengine, huko kutafuta majibu unayotaka wewe ni kutoa mada huku umekuja na majibu yako mfukoni , kwa hapo umeshafeli mkuu .
 
hata hoja kujenga za kwako sielewi kidogo infro anaeleweka.
Sasa mimi nauliza watu kwann wanamwambia MAREHEMU Rip weww unaniambia ukishiba magimbi unawaza mbinguni?🤣🤣🤣nikabaki kushangaa nikahisi labda utakuwa umekosea.
Mara unauliza kisafina halafu hapo hapo unabadilika tena unaongeleq juma na uledi🤣🤣
Huenda una kitu unatamani watu waelewe sema uwezo sasa wakufikisha embu jitahidi utueleweshe mwanasayansi🤣🤣
 
Ni utaratibu Fulani tulioniwekea usiokuwa na maana zaid ya kumlaghai aliyehai
 
hata hoja kujenga za kwako sielewi kidogo infro anaeleweka.
Sasa mimi nauliza watu kwann wanamwambia MAREHEMU Rip weww unaniambia ukishiba magimbi unawaza mbinguni?🤣🤣🤣nikabaki kushangaa nikahisi labda utakuwa umekosea.
Mara unauliza kisafina halafu hapo hapo unabadilika tena unaongeleq juma na uledi🤣🤣
Huenda una kitu unatamani watu waelewe sema uwezo sasa wakufikisha embu jitahidi utueleweshe mwanasayansi🤣🤣
Mkuu kuna kitu bado haujakijua , binafsi nmesoma michango ya watu mbalimbali na nimewajibu , kuna wengne wametoa mpaka vifungu vya maandiko , wote hao nimewajibu wala wewe hukuwauliza hivyo vifungu na hizo roho zinahusiana vipi na mada yako .

Kuna namna nmeshakuelewa kuwa hautaki mchango wangu kwenye hii mada yako , nikutakie kila la heri master🤗
 
hapana mkuu mchango wako sema bado huwezi kufikisha ujumbe.
Mbona nimewauliza huko hao wanaosema kuhusu ni mwili unakufa nasio roho😂😂wamekimbia.
Sema wewe ujaelewa mm nipo neutral na hata swali nililokuuliza ukalikimbia lipo Neutral wala sijaegemea upande.
Ila uko vzur mwanasayansi kongole
 
👍
 
Back
Top Bottom