Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

Nothing ni imaginary word. There is always something. Neno nothing lipo ili kuhalalisha something but even in nothing there is something. Always there is something.
Kama "something" inaweza kusimama yenyewe tu, Kwa nini neno Nothing lihitajike kuhalalisha something?
Philosophers believe that pure nothingness does not exist and something arises from nothing.
Why something doesn't arise from something because nothing does not exist?

Why are you saying something arises from nothing instead of something arises from something because "something" exists and "nothing" doesn't exist?
If there was a state of nothingness that was to actually exist it would be deemed as something because something had arisen from nothing; hence, nothing is something.
 
Hilo tamko ni la kidini na dini ni matokeo ya upumbavu kwaio ni tamko la kipumbavu. Amani inamhusu alie hai basi.
 
Wakuu ni aje,

Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.

Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!

Wajuzi wa mambo karibuni.
Mheshimiwa marehemu huwa wanasikia tena vizuri sana.
Mimi ilishawahi kunitokea...........
 
embu tuelezee marehemu ulikuwa unasikia nini wakiongea?
Nilikuwa nasikia wakati wanagombea Mali zangu.
Pia nilkuwa naskia 'apumzike kwa amani' lakini maneno hayo yalikuwa yanatoka kinafki sana!!
Nilikuwa nawasikia wengine wakinisema vibaya,,eti nilikuwa naringa sana,mara ooh nilikuwa mtu wa pombe na totoz!!!
 
Wakuu ni aje,

Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.

Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi!

Wajuzi wa mambo karibuni.
Ni njia ya kumuaga
 
Kama "something" inaweza kusimama yenyewe tu, Kwa nini neno Nothing lihitajike kuhalalisha something?
Unafahamu historia ya namba 0? Kwanini sifuri ni namba?
Embu google kidogo boss nadhani utapata sababu ya why nothing iwepo.
Why something doesn't arise from something because nothing does not exist?
To understand something you have to assume of nothing tho there is always something. Again go back to why zero exist.
Why are you saying something arises from nothing instead of something arises from something because "something" exists and "nothing" doesn't exist?
Again, go back to number line. Why do we have 0 in number line. Why not 1,2,3,5,6,7,8,9,11,12,13,14,15,16,17,18,19,21...........
 
Wanakufa baada ya ugonjwa wa mateso au wanakufa kwa ajali: wanahitaji kuambiwa RIP.
Wanakufa katika dhambi,pengine kibaka anahofu ataenda Motoni,kwa hiyo wanapaswa kuambiwa RIP.
Maiti ukiongea anakusikia,anafahamu unawaza nini.
Watu waliokufa usiwaseme vibaya,zungumza kama vile wako hai,kwa sababu wako hai na unaendelea kuishi nao.
Maneno kamq,"Toka Magufuli alipokufa,tunaishi kwa raha mustarehe", hayafai kabisa.
 
Back
Top Bottom