Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Sheria nyingi mbovu sana! So wana power ya kufanya wanayosema kisheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya mkoa wake ndiye boss.Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?
Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?
Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?
CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.
Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
Hujui ukisemacho, wala hujui hapa umepost nini.NDA (1966) sect 21 yote inaeleza na haimtaji rais km ndio anayetoa amri! Na ikitolewa inakuwa military order
Kwahiyo Airwing Dar Chalamila anaweza kuamuru kuhusu ndege za kijeshi?Ndani ya mkoa wake ndiye boss.
Ndiye mwenye hayo majeshi.
DC pia anaweza kufsnya usafi ktk wilaya yake kwa kuwatumia wajeshi hao kwa kuwa ndiye boss
Kwa hiyo kuwa kwake Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa, ndiyo kunampa mamlaka ya kuyaagiza majeshi yote kufanya usafi kwenye hizo siku alizozitaja?=Chalamila
Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Dar.
Hujui ukisemacho, wala hujui hapa umepost nini.
Kwahiyo Airwing Dar Chalamila anaweza kuamuru kuhusu ndege za kijeshi?
Ana Amri mpaka juu ya Mkuu wa Jeshi la Ulinzi? Au juu ya IGP na RPC tu?=Chalamila
Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Dar.
Kasema mnunue redio na TVHuku Shinyanga kijijini ndanindani hatuna TV wala Redio.Kwani kasemaje?
Yani wewe Jamaa unafananisha Jeshi na mgambo wa City wanaonyanyasa Wamachinga? Hao ndio wakupewa Amri na Chalamila kwenda kupora ubwabwa wa mama lishe.Sio air wing tu any military branch iliyopo mkoani kwake ana mamlaka kuiagiza. Ukitaka chukua hutaki niachie tu! Civil authorities have power over military per NDA(1966)
Ubaya wa kuingiza siasa kwenye majeshi yetu na idara nyeti za serikali. Kwanza haitakiwi CDF atoke, ni wananchi tukatae jeshi letu kudharauliwaKuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?
Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?
Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?
CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.
Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
Yani wewe Jamaa unafananisha Jeshi na mgambo wa City wanaonyanyasa Wamachinga? Hao ndio wakupewa Amri na Chalamila kwenda kupora ubwabwa wa mama lishe.
Au unadhani Jeshi ni Auxiliary Police?
Dada tuliza mshono hakuna taarifa za jeshi kwenda kwa mkuu wa mkoa jamaa kakurupuka kutapika uozoKama jeshi ndilo limempa taarifa Chalamila mipango yake ya usafi, naye kafanya kutangaza, hapo utasema je?
Dada tuliza mshono hakuna taarifa za jeshi kwenda kwa mkuu wa mkoa jamaa kakurupuka kutapika uozo
Kumbe una majibu yako? Nlijua umeuliza swali km ulivyosema kuuliza si ujinga! Basi tuishie hapo, am trained na Najua nachosema km ulikuwa unatest that’s up to you but ukweli ni kwamba anayo hayo mamlaka km ni kwa Mgambo au auxiliary police utaamua mwenyewe! Wenye akili washaona na majibu washapata! Copy ya sheria NDA is attached so you can decide what pleases you boss
Unajifanya msahaulifu?
Ndani ya uongozi wa hayawani , mwehu, tahira, chizi maarifa jiwe ni mara nyingi tu jei Wii walishika fagio na makwanja wakisafisha barabara kwa amri za wanasiasa pindi tu upinzani ulipotaja kauli wasizozipenda CCM.
Alichofanya Chalamila si kipya, yeye ni amiri wa mkoa wake
Jeshi la wananchi ni lini lilikuwa na nguvu kuipinga CCM?.
Chalamila karudia yaliyofanyika mara nyingi.
😂😂😂... Du!Ndani ya mkoa wake ndiye boss.
Ndiye mwenye hayo majeshi.
DC pia anaweza kufsnya usafi ktk wilaya yake kwa kuwatumia wajeshi hao kwa kuwa ndiye boss