Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

Sheria nyingi mbovu sana! So wana power ya kufanya wanayosema kisheria
 
Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?

Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?

Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?

CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.

Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
Ndani ya mkoa wake ndiye boss.
Ndiye mwenye hayo majeshi.
DC pia anaweza kufsnya usafi ktk wilaya yake kwa kuwatumia wajeshi hao kwa kuwa ndiye boss
 
Wasisahau kusafisha na kuzibua mitaro ya maji machafu

Ova
 
Ndani ya mkoa wake ndiye boss.
Ndiye mwenye hayo majeshi.
DC pia anaweza kufsnya usafi ktk wilaya yake kwa kuwatumia wajeshi hao kwa kuwa ndiye boss
Kwahiyo Airwing Dar Chalamila anaweza kuamuru kuhusu ndege za kijeshi?
 
=Chalamila

Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa wa Dar.
Kwa hiyo kuwa kwake Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa, ndiyo kunampa mamlaka ya kuyaagiza majeshi yote kufanya usafi kwenye hizo siku alizozitaja?
 
Hujui ukisemacho, wala hujui hapa umepost nini.

Sawa! Wewe mjuaji doctori soma utafsiri unavyojua, hunijui sikujui bt hiyo ndiyo fact ukitaka sawa hutaki ni wewe tu, Nimetoa maoni na I own my post. Umejibiwa swali lako la heading ya hii thread so una hiyari ya kuchukua majibu au kuacha na Kama unajua why umesema kuuliza sio ujinga? Teasing? Anyway sheria ipo kwenye attachement hapo juu soma then tafsiri unavotaka it’s all up to you boss!
 
Kwahiyo Airwing Dar Chalamila anaweza kuamuru kuhusu ndege za kijeshi?

Sio air wing tu any military branch iliyopo mkoani kwake ana mamlaka kuiagiza. Ukitaka chukua hutaki niachie tu! Civil authorities have power over military per NDA(1966)
 
Kuna statement wanafundisha maafisa wa jeshi kwamba the military is the last coin of the government so inatakiwa kutumika wisely, cha kumlaumu Chalamila kuitumia mapema tu kwa sbb jeshi likishindwa huwa ni aibu kubwa kwa watawala ila kwamba Hana mamlaka hiyo ni wrong, sheria inamruhusu kabisa bila shaka!
 
Sio air wing tu any military branch iliyopo mkoani kwake ana mamlaka kuiagiza. Ukitaka chukua hutaki niachie tu! Civil authorities have power over military per NDA(1966)
Yani wewe Jamaa unafananisha Jeshi na mgambo wa City wanaonyanyasa Wamachinga? Hao ndio wakupewa Amri na Chalamila kwenda kupora ubwabwa wa mama lishe.

Au unadhani Jeshi ni Auxiliary Police?
 
Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?

Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?

Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?

CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.

Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
Ubaya wa kuingiza siasa kwenye majeshi yetu na idara nyeti za serikali. Kwanza haitakiwi CDF atoke, ni wananchi tukatae jeshi letu kudharauliwa
 
Yani wewe Jamaa unafananisha Jeshi na mgambo wa City wanaonyanyasa Wamachinga? Hao ndio wakupewa Amri na Chalamila kwenda kupora ubwabwa wa mama lishe.

Au unadhani Jeshi ni Auxiliary Police?

Kumbe una majibu yako? Nlijua umeuliza swali km ulivyosema kuuliza si ujinga! Basi tuishie hapo, am trained na Najua nachosema km ulikuwa unatest that’s up to you but ukweli ni kwamba anayo hayo mamlaka km ni kwa Mgambo au auxiliary police utaamua mwenyewe! Wenye akili washaona na majibu washapata! Copy ya sheria NDA is attached so you can decide what pleases you boss
 
Dada tuliza mshono hakuna taarifa za jeshi kwenda kwa mkuu wa mkoa jamaa kakurupuka kutapika uozo

Punguza ujuaji boss keshalikoroga, uchawa mtafanyia wapi? Kwamba wewe ni Yesu Kristo, wahi kisutu ukaweke zuio.

Bure kabisa!
 
Kumbe una majibu yako? Nlijua umeuliza swali km ulivyosema kuuliza si ujinga! Basi tuishie hapo, am trained na Najua nachosema km ulikuwa unatest that’s up to you but ukweli ni kwamba anayo hayo mamlaka km ni kwa Mgambo au auxiliary police utaamua mwenyewe! Wenye akili washaona na majibu washapata! Copy ya sheria NDA is attached so you can decide what pleases you boss
 
Attachments

  • 20240114_121636.jpg
    20240114_121636.jpg
    113.8 KB · Views: 5
Unajifanya msahaulifu?
Ndani ya uongozi wa hayawani , mwehu, tahira, chizi maarifa jiwe ni mara nyingi tu jei Wii walishika fagio na makwanja wakisafisha barabara kwa amri za wanasiasa pindi tu upinzani ulipotaja kauli wasizozipenda CCM.
Alichofanya Chalamila si kipya, yeye ni amiri wa mkoa wake
Jeshi la wananchi ni lini lilikuwa na nguvu kuipinga CCM?.
Chalamila karudia yaliyofanyika mara nyingi.
 
  • tapatalk_1488873578481.jpeg
    tapatalk_1488873578481.jpeg
    79.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom