Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

Ukusikia kuwa mambo yote yalishakuwa yamepangwa tangu 2008 huko?.Yaani,ukiondoa ujenzi wa JKN DAM.Miradi mingine kama upanuzi wa Bandari na SGR ilikuwa ni katika mipango ya taifa.
 
Anataka kusawazisha na kupiga ela wakati wa huyu binti
 
Siku hz habari haiwi habari bila kumtukana jk.

Ee Mungu, nijaalie moyo wa kijasiri uliojaa subra na uvumilivu kama wa jk niweze kuyakabila ya dunia hii ovu bila ya kuwaumiza wanaokesha kwa ajili ya kuniumiza!
Aamin
 
Asimame upande gani while anaona alicho ambiwa kinatimia akiwa hai kwani hujapata sikia team x walionya akasema wasome katiba wakamwambia haya leo anaona kila alicho tahadharishwa kinatimia... Kwanini asijitenge na kesh
 
Ukimuondoa Mwalimu Nyerere, hakuna rais mwingine yeyote mstaafu anatiaga neno kwenye jambo kama hili. Wanajielewa hawawezi kuingilia jambo lolote publically, kama kuna cha kushauri, huwa wanatinga Ikulu kimya kimya na kutoa ushauri.
P
Hv PASCO na ujanja wako woote wa mjini kweli haujui ilieko nyuma ya hili gem! Ama unapotezea tu kimtindo.
 
Ukimuondoa Mwalimu Nyerere, hakuna rais mwingine yeyote mstaafu anatiaga neno kwenye jambo kama hili. Wanajielewa hawawezi kuingilia jambo lolote publically, kama kuna cha kushauri, huwa wanatinga Ikulu kimya kimya na kutoa ushauri.
P
Wanamshauri nani while walisha shauriwa mbona unataka tudanganya au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…