Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Ila JF πŸ˜‚πŸ˜‚, comments ndio zenyewe.
Achana na story za Ban, kuna ka "mada kameanzia" page ya 17 hivi.....
Watu wamemfungia Vioo kibonge, kibonge kamind anasambaza Uongo ( hatuwezi thibithisha mpaka kibonge aseme).

Kama ni mzururaji humu ni rahisi kumjua kibonge, japo siku hizi kapoa.
Good thing ni kwamba unakuwa ume guess tu na hakuna mtu wa kukwambia ume guess wrongly.....
 
Kibonge gani huyo
 
Attention ndio inawapa uhai wa kile wanachokifanya, dawa ni kuwaskip tu kwan tunalipwa useme ukiskip utapunguza mpunga?
Mimi napenda +ve vibes

Ndio maana mada za comedy nazipenda sana, sasa jitu likija na stress zake kutaka kuharibu vibe hua hamna namna zaidi ya kumuignore apeleke upuuzi wake huko kwa watu wa level zake....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…