Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Ila JF 😂😂, comments ndio zenyewe.
Achana na story za Ban, kuna ka "mada kameanzia" page ya 17 hivi.....
Watu wamemfungia Vioo kibonge, kibonge kamind anasambaza Uongo ( hatuwezi thibithisha mpaka kibonge aseme).
Kama ni mzururaji humu ni rahisi kumjua kibonge, japo siku hizi kapoa.
Good thing ni kwamba unakuwa ume guess tu na hakuna mtu wa kukwambia ume guess wrongly.....