Kuwa bosi isiwe sababu ya kutuhukumu sisi wanywa pombe. Harufu ya pombe sio kulewa. Wewe kutokunywa isiwe kigezo cha kutufokea

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mkumbuke kuwa tuna stress za kumwaga. Tunarogwa kila kona.Kazini, nyumbani na hata majiani.

Sasa mtu akinywa pombe jana alafu asubuhi akanywa maji unyunyu ukatema. Sasa hapo ni kosa? Maana hajalewa ila unyunyu unatema.

Mnafoka hovyo kama vile sisi ni watoto wenu.

Tunawastahi tu kutafuna Big G Mashwain nyie . Mnanyanyasa sana watu.
 
Haaahaa,
Unatufokea ma boss
 
That reminds me of our proverb Which says that " An Elephant 🐘 that swims in coconut oil doesn't use ATM to buy meat from the pharmacy.🙂
 
Jitahidi unapokunywa pombe angalau asubuhi upate tunda hususani ndizi mbivu kabla ya kujichanganya na watu.

Ukipiga mdalasini na mchai chai asubuhi kikombe kimoja na hiyo ndizi unakuwa safi kabisa.

Kumbuka harufu ya pombe haitoki mdomoni. Harufu inatoka tumboni huko... Hivyo kula bublish haisaidii kitu... Inatoa relief ya muda kwako unaeitafuna... Ila unaeongea nae anapata puya la machicha uliyobugia.
 
Flying fish, sminoff black ace, pombe Kali uki mix na energy kwa bia Ni gunness smooth pia pombe ya wastaafu plisner lager, wine🍷huwa hazinuki..
 
Hakuna pombe isiyotoa harufu... Sema zinatofautiana harufu tu... Kuna harufu za kukera na za kawaida.

Tumboni inafanyika fermentation upya huko hivyo lazima harufu zitoke. Nimeona pombe kali hapo na energy... Achana na masumu hayo.... Najua mnayapenda maana unakunywa pombe nyingi bila kulewa ukimix hivyo ila sio mazuri
 
Mkumbuke kuwa tuna stress za kumwaga. Tunarogwa kila kona.Kazini, nyumbani na hata majiani.

Sasa mtu akinywa pombe jana alafu asubuhi akanywa maji unyunyu ukatema. Sasa hapo ni kosa? Maana hajalewa ila unyunyu unatema.

Mnafoka hovyo kama vile sisi ni watoto wenu.

Tunawastahi tu kutafuna Big G Mashwain nyie . Mnanyanyasa sana watu.
Kuingia ofisini bado unanuka pombe, kuna mawili, aidha umekesha unalewa ama umezimua wakati ukija ofini, kwa hiyo umeianza kalenda ya leo ukinywa pombe.

Nilipokuwa boss nishatandika sana viboko walevi kama nyie, ukiwa boss ukafokafoka bila kuchukua hatua, staff wanakuzoea.

Viboko sitandiki kigomvi, natandika kirafiki tena kwa makubaliano, kama ni ubabe na mimi nilikuwa mbabe vile vile na sheria ya mamlaka inanibeba.

Tunakaa mezani tuna negotiate, nakuuliza, 'maonyo yote niliyokupa ya kuachana na ulevi kwanini haujirekebishi, sasa nimekuvumilia nimefika mwisho...
'chagua conditions hizi mbili, 'nikuandikie dissmisal au nikutandike mboko?'

Tena namueleza 'iwe siri yangu mi na wewe pamoja na ofisi'

Na ninamkumbusha athari za kifamilia zitakazotokana na kutimuliwa kwake ama kusimamishwa kazi.

Unakuta jamaa anasema nipige tu mkuu yaishe.

Tukiwa wawili tu, kiboko kinatafutwa kisha mlango unafungwa.

Naburuza mboko hadi mkojo unasogea, ama kutoka kabisa.

Anaondoka ofisini jicho mkoma na harudii kweli, wakawa wamenipachika A.k.a wananiita german.
 
Ukinywa pombe mpaka zaidi ya saa sita lazima kesho utoe haarufu ya pombe!....hata ukinywa nyingi wahi kuanza kunywa na kabla ya saa sita uwe umelala unaamka fresh bila harufu
 
Back
Top Bottom