The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
HI great thinkers
Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake.
Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa.
1. Genius/inteligent
Unajidaii introvet afu akili kisoda my friend we ni looser tafuta tu watu ujichanganye, sasa huo ukimya na kutochangama na watu huwa unakaa kuwaza nini, introvert wanapokaa peke yao mara zote hutumia mda mwingi kufikiri sana na kutafuta majibu ya mambo mbalimbali on their own.[/SIZE]
ukiwa kilaza jitahidi kuachana na tabia introvert utakufa maskini au kudata baadae.
2.Tajiri
Introvert afu we kapuku, utapataje connections, introvert unatakiwa uwe smart uwe na hela pesa ikufanyie kazi, tumia mda mwingi ukiwa peke yako kutengeneza plans mbalimbali za kutengeneza mkwaja zaidi, waajili ma extrovert wakufanyie kazi huku wewe ukiwa mzee wa mishe chinichini.
3. Hoby
vipaji vipo vya aina nyingi michezo, kuchora, fashion, graphics etc, unapokaa peke yako una enjoy lakini unapata mda wa kufanya vitu vyako kwa umakini zaidi tofauti na kujichanganya kwenye makelele au kuhuzuria parts zitakazkupoteza mda wako.
4. Business
My friend unajidai introvert afu huna side hustle inayokukeep busy on your private time. ukiwa introvert afu una business ni rahisi kutoboa kwa sababu most of the time utakuwa focused and not distracted by external factors.
Kwa mtazamo wangu kama wewe ni INTROVERT Afu huna mojawapo ya mambo hayo hapo juu jichanganye kwa masela uwe extrovert hata kwa nguvu utakufa maskini.
Mwenye masikio na asikie.