ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Ningependa uni tolee maelezo wewe mleta mada ihisuyo Introvert au sio wewe mdau ?ingia mtandaoni usome acha uvivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningependa uni tolee maelezo wewe mleta mada ihisuyo Introvert au sio wewe mdau ?ingia mtandaoni usome acha uvivu
Nimeandika kwa uchache sana mwanzoni mwa mada yangu soma.Ningependa uni tolee maelezo wewe mleta mada ihisuyo Introvert au sio wewe mdau ?
Unaongea kama vile kuwa introvert ni jambo la kuamua iwe hivyoNakuunga mkono, kuwa introvert nabidi uwe angalau na akili ya ziada ya kujitegemea na pesa isiwe tatizo..
Mtu upo introvert halafu huna akili ya ziada wala pesa!! Hapo labda uitwe introvert wa mchongo
Wenda watu humu hawana uelewa mpana kuhusu introvert, hilo utaligundua kupitia michango yao kuhusu introvert ni mtu wa namna gani ? Je ni maamuzi yake kuwa hivyo au ni hali tu aliyo zaliwa nayo inayo mlazimisha kuwa hivyo?Unaongea kama vile kuwa introvert ni jambo la kuamua iwe hivyo
Nimejikuta nasoma hii comment kwanzia chini kwenda juu 🥴Uwenda watu humu hawana uelewa mpana kuhusu introvert, hilo utaligundua kupitia michango yao kuhusu introvert ni mtu wa namna gani ? Je ni maamuzi yake kuwa hivyo au ni hali tu aliyo zaliwa nayo inayo mlazimisha kuwa hivyo?
Kinacho onekana hapa ni kuwa jamii ya extrovert Ina jadili jamii ya introvert na ina unailazimisha kuishi kiextrovert wakati haipo hivyo.
Mleta mada naye hana uelewa mpana kuhusu introvert ni watu wa namna gani laiti kama angekuwa amepata kuishi na mtu wa namna hiyo wenda ange badili msimamo wake kwa haya aliyo andika .
Watu wana changanya kati ya mtu introvert na mtu mkimya, sio kila mtu mkimya ni introvert japo kuwa introvert wana sifa ya ukimya.
WanakujaHI great thinkers
Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake.
Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa.
1. Genius/inteligent
Unajidaii introvet afu akili kisoda my friend we ni looser tafuta tu watu ujichanganye, sasa huo ukimya na kutochangama na watu huwa unakaa kuwaza nini, introvert wanapokaa peke yao mara zote hutumia mda mwingi kufikiri sana na kutafuta majibu ya mambo mbalimbali on their own.[/SIZE]
ukiwa kilaza jitahidi kuachana na tabia introvert utakufa maskini au kudata baadae.
2.Tajiri
Introvert afu we kapuku, utapataje connections, introvert unatakiwa uwe smart uwe na hela pesa ikufanyie kazi, tumia mda mwingi ukiwa peke yako kutengeneza plans mbalimbali za kutengeneza mkwaja zaidi, waajili ma extrovert wakufanyie kazi huku wewe ukiwa mzee wa mishe chinichini.
3. Hoby
vipaji vipo vya aina nyingi michezo, kuchora, fashion, graphics etc, unapokaa peke yako una enjoy lakini unapata mda wa kufanya vitu vyako kwa umakini zaidi tofauti na kujichanganya kwenye makelele au kuhuzuria parts zitakazkupoteza mda wako.
4. Business
My friend unajidai introvert afu huna side hustle inayokukeep busy on your private time. ukiwa introvert afu una business ni rahisi kutoboa kwa sababu most of the time utakuwa focused and not distracted by external factors.
Kwa mtazamo wangu kama wewe ni INTROVERT Afu huna mojawapo ya mambo hayo hapo juu jichanganye kwa masela uwe extrovert hata kwa nguvu utakufa maskini.
Mwenye masikio na asikie.
Hakuna mhaya asiependa sifaIntrovent sisi nachojua tupo focused na Mambo yetu binafsi hatufanyi vitu kuwa- impress watu hizo sifa hapo ni za watu washamba na sio sisi introvent
kwa bahati mbaya, hayo yote umetaja introvert wanayo. kuwa wakimya sana kunawafanya wafikirie sana, watunze sana siri za biashara na opportunities, wapambane sana kwenye utafutaji kwasababu wanajua that's the only way watatoboa. majority sio wanasiasa, ni wamiliki wa biashara zinazoongozwa na extroverts.HI great thinkers
Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake.
Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa.
1. Genius/inteligent
Unajidaii introvet afu akili kisoda my friend we ni looser tafuta tu watu ujichanganye, sasa huo ukimya na kutochangama na watu huwa unakaa kuwaza nini, introvert wanapokaa peke yao mara zote hutumia mda mwingi kufikiri sana na kutafuta majibu ya mambo mbalimbali on their own.[/SIZE]
ukiwa kilaza jitahidi kuachana na tabia introvert utakufa maskini au kudata baadae.
2.Tajiri
Introvert afu we kapuku, utapataje connections, introvert unatakiwa uwe smart uwe na hela pesa ikufanyie kazi, tumia mda mwingi ukiwa peke yako kutengeneza plans mbalimbali za kutengeneza mkwaja zaidi, waajili ma extrovert wakufanyie kazi huku wewe ukiwa mzee wa mishe chinichini.
3. Hoby
vipaji vipo vya aina nyingi michezo, kuchora, fashion, graphics etc, unapokaa peke yako una enjoy lakini unapata mda wa kufanya vitu vyako kwa umakini zaidi tofauti na kujichanganya kwenye makelele au kuhuzuria parts zitakazkupoteza mda wako.
4. Business
My friend unajidai introvert afu huna side hustle inayokukeep busy on your private time. ukiwa introvert afu una business ni rahisi kutoboa kwa sababu most of the time utakuwa focused and not distracted by external factors.
Kwa mtazamo wangu kama wewe ni INTROVERT Afu huna mojawapo ya mambo hayo hapo juu jichanganye kwa masela uwe extrovert hata kwa nguvu utakufa maskini.
Mwenye masikio na asikie.
Eti porpocon waeza saga ungaa wa Dona?
Aisee😂😂😂Majibu ni yaleyale mkuu
✅🙏kwa bahati mbaya, hayo yote umetaja introvert wanayo. kuwa wakimya sana kunawafanya wafikirie sana, watunze sana siri za biashara na opportunities, wapambane sana kwenye utafutaji kwasababu wanajua that's the only way watatoboa. majority sio wanasiasa, ni wamiliki wa biashara zinazoongozwa na extroverts.
Wengi hawajui kuwa ni hali ya kigenetic na si ya kujifunza. Kuwa introvert au extrovert inaamuliwa na "dopamine levels and the structure of receptors" kwenye ubongo.Wenda watu humu hawana uelewa mpana kuhusu introvert, hilo utaligundua kupitia michango yao kuhusu introvert ni mtu wa namna gani ? Je ni maamuzi yake kuwa hivyo au ni hali tu aliyo zaliwa nayo inayo mlazimisha kuwa hivyo?
Kinacho onekana hapa ni kuwa jamii ya extrovert ina jadili jamii ya introvert na ina ilazimisha kuishi kiextrovert wakati haipo hivyo.
Mleta mada naye hana uelewa mpana kuhusu introvert ni watu wa namna gani laiti kama angekuwa amepata kuishi na mtu wa namna hiyo wenda ange badili msimamo wake kwa haya aliyo andika .
Watu wana changanya kati ya mtu introvert na mtu mkimya, sio kila mtu mkimya ni introvert japo kuwa introvert wana sifa ya ukimya.
Inasemakana introverts wanahusiana na haya makundi nyota kama unafatilia na wapo katika kundi la kwanza kabisa.HI great thinkers
Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake.
Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa.
1. Genius/inteligent
Unajidaii introvet afu akili kisoda my friend we ni looser tafuta tu watu ujichanganye, sasa huo ukimya na kutochangama na watu huwa unakaa kuwaza nini, introvert wanapokaa peke yao mara zote hutumia mda mwingi kufikiri sana na kutafuta majibu ya mambo mbalimbali on their own.[/SIZE]
ukiwa kilaza jitahidi kuachana na tabia introvert utakufa maskini au kudata baadae.
2.Tajiri
Introvert afu we kapuku, utapataje connections, introvert unatakiwa uwe smart uwe na hela pesa ikufanyie kazi, tumia mda mwingi ukiwa peke yako kutengeneza plans mbalimbali za kutengeneza mkwaja zaidi, waajili ma extrovert wakufanyie kazi huku wewe ukiwa mzee wa mishe chinichini.
3. Hoby
vipaji vipo vya aina nyingi michezo, kuchora, fashion, graphics etc, unapokaa peke yako una enjoy lakini unapata mda wa kufanya vitu vyako kwa umakini zaidi tofauti na kujichanganya kwenye makelele au kuhuzuria parts zitakazkupoteza mda wako.
4. Business
My friend unajidai introvert afu huna side hustle inayokukeep busy on your private time. ukiwa introvert afu una business ni rahisi kutoboa kwa sababu most of the time utakuwa focused and not distracted by external factors.
Kwa mtazamo wangu kama wewe ni INTROVERT Afu huna mojawapo ya mambo hayo hapo juu jichanganye kwa masela uwe extrovert hata kwa nguvu utakufa maskini.
Mwenye masikio na asikie.
Una kitu kikubwa sana mkuu ningeandika mengi lakini niishie hapo tu.Inasemakana introverts wanahusiana na haya makundi nyota kama unafatilia na wapo katika kundi la kwanza kabisa.
Kundi nyota la MOTO.