Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

So your opinions, beliefs, subjectivity yako umeifanya kuwa universal.ama si unit ,yaani unavyowaza wewe unataka iwe ndio iwe objective. Haya bana mie niishie hapa
 
Kwa kuanza mimi ni extrovert.

Mtoa mada to some extent you have spoken the truth that some of them will disagree.
It's hard being introvert na hauna hela unataje connection?
Introvert halafu sio great thinker hivi huo muda unakaa peke yako unawaza nini?

Mawazo yenu introverts, am curious to know your opinions about this🤗
 
Introverts wengi wanaishia kuwa intelligent kwasababu wanakuwa wana spend mda wao mwingi peke yao, hiyo imepelekea wawe na high concentration kwenye mambo mbali mbali.. kama ni kusoma etc

Ila pia introverts wengi wanapenda ngono sana japa hawajioneshi. Na hii ni kwasababu, hawapendi kujichanganya na watu kwahiyo kuna ka upweke fulani wanacho.

Wanafurahi zaidi wakiwa peke yao, kwasababu kuongea kwao ni kufanya kazi nzito sana, haswa pale kunapokuwa na maongezi yasiyo na msingi. Hawapendi maongezi mepesi.

Hawapendi kupigiwa pigiwa simu..

Wanapenda sana mitandao ya kijamii ila hawapendi kujulikana kama huwa wanaitumia, ndo mana wengi chimbo lao kubwa ni Jamii Forum

Ni watu wenye mipango na ni wazuri kwenye ku generate business ideas.

Wanapenda zaidi side hustles ambazo ni za siri na hazipo popular japo ni zenye hela nyingi.
 
Hapa naomba nikupinge Introvert hawezi kuwa tajiri maana muda mwingi anawasaidia watu kutatua matatizo yao na ni mtu mwenye huruma hawezi kuona mtu anapata tabu asimsaidie kwa hiyo kile chake alichokua nacho kingi anatumia kisolve matatizo ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…