Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

Hii personality sio mchezo,
Vita ya kupambania maisha inaanzia ndan yako, unaweza kua na uhakika kabisa kwamba hili ndo jibu la jambo fulan lakin ujasiri wa kulitaja kwa sauti ukakosa[emoji16]
Mipango kibao utekelezaji sifur kudadeki..
 
Yes that is what I'm talking. Assume MTU ni intro afu Hana Hilo Hata moja si ni ukichaaaa huo.
 
Mi sijielewi, napenda kukaa muda mwingi mwenyewe nikifanya mambo yangu. Ila nikipata nafasi ya kujichanganya basi nakuwa sishikiki. Naongea balaa.
 
Umesahau kazi ya kuajiriwa kwa wale wasio na kichwa Cha biashara
 
Samahani ndugu, ningependa kufahamu kitu kimoja kutoka kwako je unamfahamu mwanasayansi/mwanafizikia aitwae Nikola Tesla au Isaac Newton ?
 
Uko sahihi kwa kiasi chake.
 
kuna mdau hapo juu amesema sisi introverts tunapenda ngono simipingi. tukizingitia ile hit nad run yako hatuwezi fanya jambo hapo kwa introvert mie na extrvert wewe?
Ha ha ha
 
Kwako mleta hoja ningependa kufahamu mambo machache kutoka kwako:-
Je ni ipi tafsiri sahihi ya neno Introvert ?
Na
Je ni zipi sifa sahihi mtu anapaswa kuwa nazo ili kutambulika kama introvert ?
 
Mitanganyika toka ijue neno introvert na 'all in all' imekua shida. Kila mtu ni introvert siku hizi 🀣
 
Nasisi wapenda kamera (macho ya watu) na hata kwenye vikao tunataka tuongee hata kama hatuna hoja ya maana ili tu tuonekane tupo na kwenye shughuli yoyote tunapenda kuwahi siti za mbele ili tuonekane vizuri. Ktk lugha ya kitaalamu tunaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…