Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

Nakuunga mkono, kuwa introvert nabidi uwe angalau na akili ya ziada ya kujitegemea na pesa isiwe tatizo..

Mtu upo introvert halafu huna akili ya ziada wala pesa!! Hapo labda uitwe introvert wa mchongo
Unaongea kama vile kuwa introvert ni jambo la kuamua iwe hivyo
 
Unaongea kama vile kuwa introvert ni jambo la kuamua iwe hivyo
Wenda watu humu hawana uelewa mpana kuhusu introvert, hilo utaligundua kupitia michango yao kuhusu introvert ni mtu wa namna gani ? Je ni maamuzi yake kuwa hivyo au ni hali tu aliyo zaliwa nayo inayo mlazimisha kuwa hivyo?

Kinacho onekana hapa ni kuwa jamii ya extrovert ina jadili jamii ya introvert na ina ilazimisha kuishi kiextrovert wakati haipo hivyo.

Mleta mada naye hana uelewa mpana kuhusu introvert ni watu wa namna gani laiti kama angekuwa amepata kuishi na mtu wa namna hiyo wenda ange badili msimamo wake kwa haya aliyo andika .

Watu wana changanya kati ya mtu introvert na mtu mkimya, sio kila mtu mkimya ni introvert japo kuwa introvert wana sifa ya ukimya.
 
Nimejikuta nasoma hii comment kwanzia chini kwenda juu ๐Ÿฅด
 
kama connection zingekuwa zinapatikana kwa kuwa muongeaji, basi maextrovert wote wangekuwa na kazi wala sio kukaa vijiweni kupiga kapilimpyempye!
 
Kwani anakuwa hivyo kwa kuamua au ndio alivyozaliwa...

Mtazamo wangu binafsi:

1. Mi nahisi ni mtu introvert anakuwa hapendi kuharibu ratiba yake kwa ajili watu wengine. Mfano: Yeye jioni anapenda kukaa Pub flani ubungo huko karibu na home kwake akipiga bia zake. Wewe unampigia masimu aje ulipo wewe sinza huko kunywa bia ile ile. Hapo tayari unamkera.

2. Mwingine unakuta hapendi vibe au story za rafiki zake ila anazivumilia tu kwasababu ndio rafiki zake. Unakuta hana interest za Simba na Yanga anajilazimisha tu ili a-fit-in au story za 'demu flan nimepiga' yeye zinamkera. Ku avoid yote hayo anaamua ku-chill kivyake
 
Wanakuja
 
kwa bahati mbaya, hayo yote umetaja introvert wanayo. kuwa wakimya sana kunawafanya wafikirie sana, watunze sana siri za biashara na opportunities, wapambane sana kwenye utafutaji kwasababu wanajua that's the only way watatoboa. majority sio wanasiasa, ni wamiliki wa biashara zinazoongozwa na extroverts.
 
โœ…๐Ÿ™
 
Wengi hawajui kuwa ni hali ya kigenetic na si ya kujifunza. Kuwa introvert au extrovert inaamuliwa na "dopamine levels and the structure of receptors" kwenye ubongo.
 
Inasemakana introverts wanahusiana na haya makundi nyota kama unafatilia na wapo katika kundi la kwanza kabisa.

Kundi nyota la MOTO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ