You are not kidding. Huo ndiyo mtihani mkubwa uliopo. Sijui ni kwa nini yaani. Atakusimulia mambo mabaya ya kutisha aliyofanyiwa na baby daddy wake. Alivyotelekezwa na mimba, akateseka karibia ajiue na utopolo mwingine. Mpaka unamwonea huruma. Cha ajabu sasa akikutana na huyo baby daddy wake wewe haupo lazima tu atapashwa kiporo. Hili jambo linashangaza sana !!!
Labda upate anayejitambua sana na ambaye alishamalizana kabisa kabisa na baby daddy wake (au bebi daddy awe keshatangulia mbele ya haki), kuchapiwa ni lazima tu...
#Kidding [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]