Kaa chonjo ni hatariKihalisia wengi unakuta hata hawako zanzibar. Wanatumia mwanya huo ili kuwe na kile kipengele cha tunatuma mizigo bara ili utapeliwa unakuta kumbe tapeli liko hapahapa mjini😀😀
Ni kweli bora uende mwenyewe,maana wengi wamejaa wakijitanabaisha wanauza vifaa vya electronics kumbe ni matapeli na wapo wengi sana huko Instagram.Ilibaki kidog niingie mkenge hapa kuna vitu vingi navitamani ila Bora nikate tiketi niende mwenyew
Hatari,matapeli wamezidi sasaTunatuma bara!
Mm nishalizwaa sema bahat nzur pesa ilirud kwa mbindeTunatuma bara!
Yuko mmoja anadai yuko Pemba, Samsung note 10+ ambayo bei yake karibia mil 3 yeye anakwambia anauza mil 1.Ilibaki kidog niingie mkenge hapa kuna vitu vingi navitamani ila Bora nikate tiketi niende mwenyew
Uliiludishaje kaka ,ulimkamata au ilikuajeMm nishalizwaa sema bahat nzur pesa ilirud kwa mbinde
akikujibu nitag mana na mm nina ndugu yangu wa karibu sana amelizwa na hawa jamaa, wanakera mno asee
Wakuu kwema.
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake. Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo.
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni?
Naombeni muongozo karibuni.
======
UPDATE:
NOTE: Matapeli hawa hawaruhusu comments kwenye pages zao na wanafanya promotion ya contents zao (Sponsored) katika m
Hizi hapa ni baadhi ya akaunti zinazofanya utapeli Instagram
View attachment 1684371
View attachment 1684361
View attachment 1684372
pole sana, mwaka jana nami nilitapeliwa laki 4 niliagiza smart tv kwa mtu anajiita said electronics kuja kugundua nimeshatapeliwa na akaniblock, lakini nikapotezea maana najua mtu anaeiba cha mtu ameshalaanika na mwisho wake ni mbaya atazitapika tuWakuu kwema.
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake. Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo.
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni?
Naombeni muongozo karibuni.
======
UPDATE:
NOTE: Matapeli hawa hawaruhusu comments kwenye pages zao na wanafanya promotion ya contents zao (Sponsored) katika m
Hizi hapa ni baadhi ya akaunti zinazofanya utapeli Instagram
View attachment 1684371
View attachment 1684361
View attachment 1684372
Ntumie mie laki 4 nauza TV pia 😁pole sana, mwaka jana nami nilitapeliwa laki 4 niliagiza smart tv kwa mtu anajiita said electronics kuja kugundua nimeshatapeliwa na akaniblock, lakini nikapotezea maana najua mtu anaeiba cha mtu ameshalaanika na mwisho wake ni mbaya atazitapika tu
Ni kweli mkuu hakuna uhalifu usioacha ushahidi. Mathali kwa tukio tajwa la mdau mwenzetu polisi kitengo cha Forensic wanaweza kumsaidia. Kuna namna nyingi ikiwemo kupitia namba alizotumia kufanya naye mawasiliano, siku/muda / eneo gani. TCRA wanao uwezo wa kuchip ID yake kupitia usajili wa simu na line, kujua location alipo na hata kupitia links za mawasiliano baina ya namba iliyohusika kwenye uhalifu na namba nyenginezo, more advance tracking method ni kupitia: image catch, facial & voice recognition, tracker mbalimbali n.k......mkuu pole sana hilo ni kosa kisheria, na tunaweza ita kajipatia fedha kwa njia ya udanganyifu au kuaminika ka sijakosea. unaweza kwenda kituo cha polisi na ukapata msaada hakuna mwizi smart kiasi ambacho haachia ushahidi nyuma ambao utasaidia kukamatika kwakee.
Shida ni kwamba gharama za kufanya hiyo process ni kubwa kuliko pesa uliyotapeliwa ndo maan wengi wanaamua kupotezeaNi kweli mkuu hakuna uhalifu usioacha ushahidi. Mathali kwa tukio tajwa la mdau mwenzetu polisi kitengo cha Forensic wanaweza kumsaidia. Kuna namna nyingi ikiwemo kupitia namba alizotumia kufanya naye mawasiliano, siku/muda / eneo gani. TCRA wanao uwezo wa kuchip ID yake kupitia usajili wa simu na line, kujua location alipo na hata kupitia links za mawasiliano baina ya namba iliyohusika kwenye uhalifu na namba nyenginezo, more advance tracking method ni kupitia: image catch, facial & voice recognition, tracker mbalimbali n.k......
Kama tutakubali kuunda ushirikiano mzuri kati yetu na mamlaka husika au ushirikiano wa kusaidiana sisi kwa sisi japo kw ushauri wenye tija ni dhahiri Digital Market itakuwa ni sehemu salama na rahisi kwa biashara. Mara nyingi Tabia zetu za kubezana au zenye kutanguliza zaidi lawama au matani kwenye jambo 'serious' hutukosesha kufaidi manufaa halisi/ yanayokusudiwa kwa aina hizi za mitandao ya kijamii , hivyo majukwaa mengi hupoteza maana halisi ya kuanzishwa - TUBADILIKENI JAMANI.
Kama swala la Uhalifu wa mitandao ni kweli upo na unaweza kumkuta yeyote hata wewe. Wahalifu wanabadilika kila wakati kulingana namna ya reaction watakazokutana nazo hivyo usishangae Tukiaamua kuulizana kati yetu sote ukakakuta asilimia zaidi ya tini tumeshawahi kutapeliwa kama sio mitandaoni basi ukiwa kwenye physical Market kwa namna yeyote ile. Nawasilisha!
Wakuu kwema.
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala.
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake. Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa namba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndio maongezi yakaishia hapo.
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni?
Naombeni muongozo karibuni.
======
UPDATE:
NOTE: Matapeli hawa hawaruhusu comments kwenye pages zao na wanafanya promotion ya contents zao (Sponsored) katika m
Hizi hapa ni baadhi ya akaunti zinazofanya utapeli Instagram
View attachment 1684371
View attachment 1684361
View attachment 1684372
Utapoteza muda na nauli , ukifika huko ukiwapigia simu hawapatikani wanakuacha kwenye mataaNa mimi nimeingia mtandaoni nimekuta jamaa 1 anauza LG smart inch 65 kwa 800,000 nawaza apa je ndio bei yake? nisije choma nauli mpka zanzibar wazoefu wa mtandao tafadhari msaada.View attachment 2426469
wanawake hasa wanafunzi wa vyuo wanalizwa sana, mbaya zaidi ni aibu hivyo hawasemi wanabaki kugawa utelezi kufidia utapeli waliolizwa.Utapoteza muda na nauli , ukifika huko ukiwapigia simu hawapatikani wanakuacha kwenye mataa