Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Kulalwa sio kigezo cha kutunzwa ila kuolewa ndio kigezo kikubwa. Hata siku ya harusi mkiwa ukumbini baba mkwe atasema nakukabidhi huyu binti yangu baada ya kumlea kwa kipindi chote cha usichana wake.
Aah wapi !
Cha msingi muache tu!
Wamlale wanaoweza kumpa Hela!
Kumbe ndo maana wadada sikuhizi wameona wajiuze tu official

Nyie ndo mnasababisha
 
Wanawake wenyewe wanakuambia wao hela ndio kila kitu mkuu unakwama wapi hadi unaimani kubwa hivyo na hawa malaya.....? Mkuu sahani ya chips tu inamvua mtu chupi utasemaje yeye ndio ana kauli ya mwisho....?

Pesa , vyakula , fame, ndio msemaji wao wa mwisho so as a man jitahidi uwe na kimoja hasa hicho cha kwanza. Ila key point usioneshe kumdharau hata kama unamdharau kweli maana wanawake wameumbwa kuto vumilia dharau kwa namna yoyote ile

Mie sijakwama, unashindwa kuelewa jambo Moja tu, hata kama anataka pesa Yako au vitu vyako Bado ni yeye ndio anaeamua kuliwa.

Wewe kuwa na hivyo vitu ulivyovitaja inakurahisishia kwenye harakati zako lakini sio guarantee utampata kila mwanamke unaemtaka.
 
Upo sawa ila Maisha ni kuchagua. Ww tu na namna ulivyoamua kutumia fedha yako uliyoitafuta kwa jasho lako wala usimpangie mtu na laki yake.
Nadhani kikao cha kwanza cha mwaka huu hukuhudhuria, iliazimiwa hivi

Mwanamke anaetaka kuanzia elfu 30 huyo pesa ataifuata nyumbani ikiwa na mchanganuo ufuatao

Atapanda bodaboda mpaka eneo la tukio na hapo itaanza kutumika ile pesa kwanza kwa kulipia usafiri wake, anauchezea ukuni halafu pesa itayobaki ndio anapatiwa
 
Hichi ni kikako cha vijana cha wazee tuliamua kwamba "tusipangiane" pesa ni yako ila familia kwanza.
 
Kuna demu nilishindwa kumlipia kodi ya chumba ilipoisha,nikamshauri ahamie kwenye nyumba ya mzee wangu Akae Bure ingawaje mazingira yalikuwa tofauti kwa mzee kulikuwa na wapangaji wengi sana na yule demu anapendaga usiri sana na pale kwa mzee kuna watu wanamjua

Alinipa jibu kama hilo "nitaangalia" baada ya kama wiki moja nikamfuma siku moja usiku yupo na dogo fulani wanasindikizana maghetoni nilipokuwa nimempangisha,nilichoka
Pisi ikishakupa jibu hilo kuna asilimia chache sana ya wewe kupata nafasi/muda wake. Ke akishaniambia hivyo huwa hata siangaiki
 
Watoto wa kike bwana sijui huwa wanajiona akina nani vile. Ukimfuata anajiona kama muajiri amekuja kuombwa ajira basi na komwe lake kama shoka la buchani ataanza kuleta pozi ambazo hata hazihusiki badala ya kuwa straight tu.

Me nadhani ifike muda watoto wakike mjue kulinga mwisho ni miaka 30,baada ya hapo thamani yako itashuka kwa kasi kila mwaka no matter ni mzuri kiasi gani, na huko mbeleni hakuna mwanaume wa maana utakuta zaidi ya masimp, wanaume walioshindwa mahusiano, wanaume wahuni.

Endeleeni kuleta ligi mtaisoma namba ni ninyi.
 
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabisa...looh
 
Pisi ikishakupa jibu hilo kuna asilimia chache sana ya wewe kupata nafasi/muda wake. Ke akishaniambia hivyo huwa hata siangaiki
Nilikuwa namwamin sana huyo manzi,ni demu asie na tamaa na anaamin zaidi katika upambanaji lakin alivyobadilika ghafla hata siamin ila hata hvyo mie pia nilkuwa namchukuliaga kawaida sana ingawaje yeye alionesha juhudi nyingi sana za kunipenda
 
Hao ni kuishi nao kwa akili tu wepesi sana kubadilika, mda wowote anaweza kukubadilikia mpaka utashangaa
 
Watoto wa kike bwana sijui huwa wanajiona akina nani vile. Ukimfuata anajiona kama muajiri amekuja kuombwa ajira basi na komwe lake kama shoka la buchani ataanza kuleta pozi ambazo hata hazihusiki badala ya kuwa straight tu.

Me nadhani ifike muda watoto wakike mjue kulinga mwisho ni miaka 30,baada ya hapo thamani yako itashuka kwa kasi kila mwaka no matter ni mzuri kiasi gani, na huko mbeleni hakuna mwanaume wa maana utakuta zaidi ya masimp, wanaume walioshindwa mahusiano, wanaume wahuni.

Endeleeni kuleta ligi mtaisoma namba ni ninyi.
ahahaaaaa
 
Back
Top Bottom