Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Kuna shogako hapa kanijibu "Nikipata Nafasi ... Ntakuambia" NimeshaDELETE namba ykThis formula applies to both gender
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shogako hapa kanijibu "Nikipata Nafasi ... Ntakuambia" NimeshaDELETE namba ykThis formula applies to both gender
😆😆😆 subiri mwenzio apate nafasi bwanaaKuna shogako hapa kanijibu "Nikipata Nafasi ... Ntakuambia" NimeshaDELETE namba yk
Hizo pigo ndiyo zangu. Demu akinichelewesha hata dakika mbili tu namwambia arudi alipotoka hata kama akisema amekaribia kufika nilipo.Huyo ulimuweza kweri kweri [emoji23] haezi rudia huo ujinga. Akili hio anayo mwanangu Jay 26. Huyo ukizingua promise hata dakika 5 tu anakutupa na namba anafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Jina lake linaanza na herufi gani?Jamani kuna mrembo anasema anataka kuja kuchukuwa zawadi bday yake tarehe 15. Vipi huyu kweli analika? Nipe i ujanja
Anajiita sweet candy tinder hukoJina lake linaanza na herufi gani?
Nisije na mimi nikawa napangwa yakhe!😃
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.
1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)
2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)
3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)
4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)
5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)
Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
Hio ndio kitu sure tulikuwa tunataka, we sema bei upewe chambi watu wapige zao mbizi. Hamnaga mambo mengi.Aah wapi !
Cha msingi muache tu!
Wamlale wanaoweza kumpa Hela!
Kumbe ndo maana wadada sikuhizi wameona wajiuze tu official
Nyie ndo mnasababisha
Sahii utakuwa unakula mbichi duty free 😂😂😂Yes upo sahihi mkuu!! Ila hawa viumbe akili ukiitumia vizuri unatoboa’ nilikutana na mazi mmoja nikaomba namba nikanyimwa. Nilikutana nae mara3 siku toafuti sikufanikiwa na majibu ya kejeli kweli kweli......
Nikaja kugundua anafanya kazi taasisi fulani ya mshahara mnono nikajua anakiburi cha uzima na maokoto, nilikuja kupata namba yake na alinipa baada yakumkuta officen kwake, kiukweli mkuu nilitumika vibaya sana yani nikiomba out nilikuwa najitutumua mahotel ya 5stars na ndo sehemu alikuwa anapenda, nilitumia pesa nyingi kumshawishi......!!!!
But guess what now[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alooo!Anajiita sweet candy tinder huko
Ya nyuki wadogo, alafu kimsumari ndio kimetokeza kwanje kwenye nzinga, na kinavyovyaliwa hizo top's huko ni mtaani masela ni wamarekani weusi wao nikusema " Daaaammnn"Uliposema ka kishua tu basi moja kwa moja nikajua lazma ukalambe asali
Ya nyuki wadogo, alafu kimsumari ndio kimetokeza kwanje kwenye nzinga, na kinavyovyaliwa hizo top's huko ni mtaani masela ni wamarekani weusi wao nikusema " Daaaammnn"Uliposema ka kishua tu basi moja kwa moja nikajua lazma ukalambe asali
Haya Kila la kheri endeleeni kununua jmnHio ndio kitu sure tulikuwa tunataka, we sema bei upewe chambi watu wapige zao mbizi. Hamnaga mambo mengi.
Sahii utakuwa unakula mbichi duty free 😂😂😂