Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Huyo ulimuweza kweri kweri [emoji23] haezi rudia huo ujinga. Akili hio anayo mwanangu Jay 26. Huyo ukizingua promise hata dakika 5 tu anakutupa na namba anafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo pigo ndiyo zangu. Demu akinichelewesha hata dakika mbili tu namwambia arudi alipotoka hata kama akisema amekaribia kufika nilipo.

Kwangu muda ni kila kitu wazee. Bora demu acheze na vijisenti vyangu lakini sio muda wangu.
 
Jamani kuna mrembo anasema anataka kuja kuchukuwa zawadi bday yake tarehe 15. Vipi huyu kweli analika? Nipe i ujanja
Jina lake linaanza na herufi gani?
Nisije na mimi nikawa napangwa yakhe!😃
 
Kuna mwamba nimeona kasema unatuma muamala kumuangamiza adui 😂😂😂😂
 
Utanipa kiasi gani? Ila mm sio kama wadangaji. Mimi najiheshimu sana na najielewa sidangi
 

Yes upo sahihi mkuu!! Ila hawa viumbe akili ukiitumia vizuri unatoboa’ nilikutana na mazi mmoja nikaomba namba nikanyimwa. Nilikutana nae mara3 siku toafuti sikufanikiwa na majibu ya kejeli kweli kweli......

Nikaja kugundua anafanya kazi taasisi fulani ya mshahara mnono nikajua anakiburi cha uzima na maokoto, nilikuja kupata namba yake na alinipa baada yakumkuta officen kwake, kiukweli mkuu nilitumika vibaya sana yani nikiomba out nilikuwa najitutumua mahotel ya 5stars na ndo sehemu alikuwa anapenda, nilitumia pesa nyingi kumshawishi......!!!!

But guess what now[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aah wapi !
Cha msingi muache tu!
Wamlale wanaoweza kumpa Hela!
Kumbe ndo maana wadada sikuhizi wameona wajiuze tu official

Nyie ndo mnasababisha
Hio ndio kitu sure tulikuwa tunataka, we sema bei upewe chambi watu wapige zao mbizi. Hamnaga mambo mengi.
Sahii utakuwa unakula mbichi duty free 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…