Ila vingine nadhani tunatishanaView attachment 3421370
Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
Na ufipi uhoHuo ukuta kwa urefu huo hata ukipakwa mafuta bila kuwepo na hizo isolated posts naupanda bila shida.
Ufupi gani sheikh ubwabwaNa ufipi uho
Kitakachomuokoa labda electric fence,bila hivyo hata Mimi napanda hapo🤓🤓🤓🤓Huo ukuta kwa urefu huo hata ukipakwa mafuta bila kuwepo na hizo isolated posts naupanda bila shida.
Ataweka tangazo, tunauza askrimuLabda ataweka tangazo " Kuna mbwa mkali sana"
Tena unapanda ukiwa umebeba mtoto mgongoniKitakachomuokoa labda electric fence,bila hivyo hata Mimi napanda hapo🤓🤓🤓🤓