NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,762
- 3,435
ninachojua ni kuwa fence huwekwa kwa madhumuni makuu matatu,...
1...kuzuia watu wasione upande wa pili..
2,...kuweka ushahidi wa kuwa muhalifu ALIRUKA FENCE..maana geti lilifungwa,...hiki tayari ni KIDHIBITI..
3....kudhuia watu na wanyama wasiweze kuingia,....
sasa kibongo-bongo , fence zetu nyingi zinaangukia kwenye 1 &2..ningumu sana kujenga fence ya kumzuia BINADAMU asipite...ni ngumu na ghari mno...