Kuwa makini na usijenge aina hii ya fence nyumbani kwako

Fence sio kwa ajili ya wizi bali ni privacy ya mtu tu, na kutokuonekana

Wizi wanaiba hata uweke cctv bado wataingia wakitaka
Ukiweka ukuta mdogo na mkubwa ni sawa tu

Weka ukuta halafu andika trespassers will be eaten alive
Ukiruka unakutana na Mamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…