Sidhani kama unaweza kumuzuia mwizi kwa fence ya aina yoyote ile!View attachment 3421370
Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
Tushajua umejenga fensiView attachment 3421370
Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
Na ukiupanda ukifanikiwa jua utapakwa mafuta wewe badala ya ukuta.Huo ukuta kwa urefu huo hata ukipakwa mafuta bila kuwepo na hizo isolated posts naupanda bila shida.
Hilo haliwezekaniNa ukiupanda ukifanikiwa jua utapakwa mafuta wewe badala ya ukuta.