Kuwa makini unapokwenda baharini kuogelea na mke/mpenzi wako

Nimetoa kama tahadhari kwa watu wanaoenda na wapenzi wao baharini wawe makini nao kwa sababu kuna vijana wanatabia za kuwafanyia wanawaks huo ushenzi, sasa hapo nimevutia nini??

Pamoja na hayo, tanga kama ilivyo miji mingine ina maeneo na kumbi za starehe, hayo mengine ya watu kuwekewa mitego ya ugoni, sidhani kama ni tanga tu, naamini hata maeneneo mengine yapo na yanatokea. Mawazo yako lakini hayo
 
Wenyewe wanasema virus kwenye maji ya chumvi havipiti sababu chumvi inakausha damu. Hivyo ni migegedo kwa kwenda mbele πŸ˜„
 
unavutia nini??..... Wakware.vijana madomo zege.

Kwingine yapo??... Tanga kumezidi. Ukaribu na mombasa sifa za mombasa tunazijua. Na vituo vya wa italy na hotel zao za kitalii ni nyingi Mombasa!

Na hao wa italy wanajulikana Duniani kote kwa kuoa wanaume.kwao ni sunna hata jemedari wao mkuu aliye wakomboa maarufu alikuwa shoga.hayo tu babu.
 
Sawa mkuu[emoji23][emoji23]
 
Mbona kawaida karibia beach zote ambazo hazijastaarabika kuna Hiyo situation..Yaaani yale maji ya bahari sijui kuna ibilisi gani..
Tusisingizie bahati. Hazina hata akili so haiwezi kufanya reasoning.

Shida ipo kwetu sisi binaadamu.

Mambo tunayofanya hata viumbe wengine wanashangaa.
 
Hivi kuna familia zina muda wa kwenda kuogelea ?wagongwe tu asee
 
Mshamba wa Dar huyu
 
Nawe ulikuwa wapi wakati wanatafunwa au na wewe ndio beach boys πŸ˜€πŸ˜πŸ˜€
 
Naishi tanga mjini mkuu haya unayoongea umesimuliwa kijiwe cha kahawa nini ?
 
Mada yako haina ukweli pale raskazone beach walikataza jinsia tofauti kufundishana kuogelea nadhani ilikuwa mwaka 2015 au 2014 ndio walikatazaga


Na ukionekana unafundishana utajuta kuzaliwa

Hizi story labda iwe za zamani kama ni hivi karibuni acha kupiga watu kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…