Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

Labda kama hujielewi lakin Kwa mfanyabiashara yeyote mkubwa au mdogo na maisha Yako ni biashara..kwenda uko kwenye ulimwengu usioonekana ni lazima kama unataka usalama wa hyo biashara Yako..

Uzuri uko pande zipo mbili utaamua mwenyewe upande wa kuutumikia...but kusema upo tu kwenye game mweupe hata kama una uzoefu sijui mbinu za biashara sijui elimu ..a day to come utaangukia pia tu...

Biashara ni vita sana, upende usipende utapigana tuuu na either wakumalize au uwacontrol...
 
Sahihi mkuu
 
Jibu ni haiwezekani na ni siri sana kwa wenye hela hawezi kukuambia unless uwe mmoja wao.
anaweza akawa amedulumu hela ya yatima ama kamdhulumu/kumuua mtu ndio akaanza kunyanyukia hapo hela ni chafu we waone wenye hela ila nyuma ya pazia kuna mazito.
Mungu hakuwa mjinga kusema ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wake. ITAWEZEKANA Kama utataka hizi hela za kubadilishia nguo na kula milo miwili
Hapo ndio mwisho wa upeo wako.
Utajiri unatoka kwa Mungu
Shetani ana copy tu
 
Hahah sema hamnaga pesa nyingi sana ya halali., Kuzurumiana, kuiba uchawi ndo hela inajaa. Ila kufata vyote kulipia Kodi vzuri kulipa watu mishahara inavyotakiwa kihaki kabisa hapana sio kweli. 😀😀
Wewe ndio unajua siri ya pesa.

Maskini wenyewe wanaishia kuamini Inspirations tu ambazo hazijawahi kuwainua kwa lolote.

Pesa ina siri. Matajiri wanalijua hili.

Kabwela ndio anashinda kwa Mwamposa na Kuhani Musa
 
Attachments

  • 20240310_155345.jpg
    20240310_155345.jpg
    3.1 MB · Views: 10
  • 20240310_155345.jpg
    20240310_155345.jpg
    3.1 MB · Views: 7
Imani dhaifu hizo na watu wanapendelea sana huko
Tofauti na sisi wengine hatuna makuu ni kufanya kazi kupata hela na kufungua biashara zaidi na kuendeleza tu
Kama familia imeweza kuendeleza biashara mpaka wajukuu sasa miaka zaidi ya 70 na bado zinaongezeka bila mganga bali kumuamini Mungu tu

Kila mmoja apambane kivyake tu ila sisi uchawi hapana kwa kweli
Tupo ndugu wengi tu wenye uwezo mkubwa tu lakini tunafuraha na amani
Kuna vijana huwa wanatutania kuwa tuna ndagu ila niliweka 2m kama atamleta mganga anaetufanyia ujinga huo akabaki kucheka tu
 
J
Imani dhaifu hizo na watu wanapendelea sana huko
Tofauti na sisi wengine hatuna makuu ni kufanya kazi kupata hela na kufufungua biashara zaidi na kuendeleza tu
Kama familia imeweza kuendeleza biashara mpaka wajukuu sasa miaka zaidi ya 70 na bado zinaongezeka bila mganga bali kumuamini Mungu tu

Kila mmoja apambane kivyake tu ila sisi uchawi hapana kwa kweli
Tupo ndugu wengi tu wenye uwezo mkubwa tu lakini tunafuraha na amani
Kuna vijana huwa wanatutania kuwa tuna ndagu ila niliweka 2m kama atamleta mganga anaetufanyia ujinga huo akabaki kucheka tu
Jiseme wewe ya ndugu zako huwezi jua
 
Back
Top Bottom