Kwanza, una'contradict kati ya uganga na uchawi.
Pili, sio kila unachozuiwa kukifanya au ambacho hukifanyi ni kibaya. Kwa muislam, ukristu ni mbaya na ukafir. Ila generally ukweli tunaujua.
Tatu, kama hujui, kwa waganga ni njia ya kumuomba mungu, japo sio kwa njia ya mtume Mohamed na/au Yesu. Sema watu wa dini kwa kuwa mnauninafsi, huwa mnagenerate concepts zenu mnazozijua wenyewe.
Kama wewe umeamua kuwa na Imani fulani, respect wengine na Imani zao coz hakuna mwenye uhakika na Imani yake, utajisijiaje siku ya mwisho (kama ipo) ukaambia freemasons ndio ilikuwa njia ya kweli ya mungu kuliko yeyote ile?
Hakuna aijuae kesho mkuu.