Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Sahihi mkuuLabda kama hujielewi lakin Kwa mfanyabiashara yeyote mkubwa au mdogo na maisha Yako ni biashara..kwenda uko kwenye ulimwengu usioonekana ni lazima kama unataka usalama wa hyo biashara Yako..
Uzuri uko pande zipo mbili utaamua mwenyewe upande wa kuutumikia...but kusema upo tu kwenye game mweupe hata kama una uzoefu sijui mbinu za biashara sijui elimu ..a day to come utaangukia pia tu...
Biashara ni vita sana, upende usipende utapigana tuuu na either wakumalize au uwacontrol...
Hapo ndio mwisho wa upeo wako.Jibu ni haiwezekani na ni siri sana kwa wenye hela hawezi kukuambia unless uwe mmoja wao.
anaweza akawa amedulumu hela ya yatima ama kamdhulumu/kumuua mtu ndio akaanza kunyanyukia hapo hela ni chafu we waone wenye hela ila nyuma ya pazia kuna mazito.
Mungu hakuwa mjinga kusema ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wake. ITAWEZEKANA Kama utataka hizi hela za kubadilishia nguo na kula milo miwili
Wewe unazo? Unajifariji tuManeno ya kimasikin haya...tafta pesa mkuu
Vijana wa Mwamposa nyie.....kutwa kwa Manabii na hata suruali zinatoboka....Huyo Mungu kawapa?Hapo ndio mwisho wa upeo wako.
Utajiri unatoka kwa Mungu
Shetani ana copy tu
Ingekuwa ni kwa kupiga kazi basi Tz nzima tungekuwa mamilionea. Kila siku tunahenyeka na kaziIngekua ni rahisi hivo, matajiri tungekua wengi mnoo....piga kazi mzee hakuna hela rahisi hivo
Wewe ndio unajua siri ya pesa.Hahah sema hamnaga pesa nyingi sana ya halali., Kuzurumiana, kuiba uchawi ndo hela inajaa. Ila kufata vyote kulipia Kodi vzuri kulipa watu mishahara inavyotakiwa kihaki kabisa hapana sio kweli. ππ
Unao?"Utajiri hauhusiani na Imani" Kwa mentality hii utajiri utausikia tu.
Pole..Vijana wa Mwamposa nyie.....kutwa kwa Manabii na hata suruali zinatoboka....Huyo Mungu kawapa?
hapa nimekuelewa vyema. Ukiwa front sana unajiexpose kwa maadui zakoKinga nyingine ambayo haiumizi ni sadaka
kinachotuponza waafrica tukiwa na ela ni kwenda front on everything
yaani utataka wewe uwe maarufu kama huduma unayotoa
sasa ndo unakaribisha Husda
Hahahaa.......Jivunie ID fake ya JFPole..
Mie sio kijana...
Kwa umri mimi ni baba yako au mume wa mama yako..
Na kwa ukwasi mimi ni mmoja wa waTanzania ninaye miliki meli kwa muda huu nipo Denmark π©π°
Karibu na Asante
π π πHahahaa.......Jivunie ID fake ya JF
Leo barafu imeyeyuka...Hahahaa.......Jivunie ID fake ya JF
Unajiita yuda alafu ulisaliti mchizi wako kwaji ya vipande 30,wee kavu tu.MUAMINI YESU KISHA FANYA BIASHARA NA UWE UNAIOMBEA UNAJUA HATA KWA HAO WAGANGA WA KIPEPO LAZIMA UWE NA IMANI
THE DEVIL IS A LIAR
Jiseme wewe ya ndugu zako huwezi juaImani dhaifu hizo na watu wanapendelea sana huko
Tofauti na sisi wengine hatuna makuu ni kufanya kazi kupata hela na kufufungua biashara zaidi na kuendeleza tu
Kama familia imeweza kuendeleza biashara mpaka wajukuu sasa miaka zaidi ya 70 na bado zinaongezeka bila mganga bali kumuamini Mungu tu
Kila mmoja apambane kivyake tu ila sisi uchawi hapana kwa kweli
Tupo ndugu wengi tu wenye uwezo mkubwa tu lakini tunafuraha na amani
Kuna vijana huwa wanatutania kuwa tuna ndagu ila niliweka 2m kama atamleta mganga anaetufanyia ujinga huo akabaki kucheka tu
Tupe kazi baba yetuPole..
Mie sio kijana...
Kwa umri mimi ni baba yako au mume wa mama yako..
Na kwa ukwasi mimi ni mmoja wa waTanzania ninaye miliki meli kwa muda huu nipo Denmark π©π°
Karibu na Asante
KaribuTupe kazi baba yetu