Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
wewe ni mchanga huendi kutafuta utajiri unaenda kujibrush na kuweka vitu katika mnyooko ndio mambo hufunguka na utapata deal za maana ila ukiwa mweupe na unatafuta si kila mnaetafuta nae maeneo yako ni mzuri kwako mzee. Elewa swali la mtoa madaHapo ndio mwisho wa upeo wako.
Utajiri unatoka kwa Mungu
Shetani ana copy tu
Nawajua vizuri kwa sababu biashara zetu ni mojaJ
Jiseme wewe ya ndugu zako huwezi jua
Sijakuelewawewe ni mchanga huendi kutafuta utajiri unaenda kujibrush na kuweka vitu katika mnyooko ndio mambo hufunguka na utapata deal za maana ila ukiwa mweupe na unatafuta si kila mnaetafuta nae maeneo yako ni mzuri kwako mzee. Elewa swali la mtoa mada
Big up mkuuKwenda kwa mganga/kusali hakuleti utajiri,
Unaweza kwenda ukapata, unaweza usiende ukapata, utajiri hauhusiani na imani.
Ingekua hivyo, matajiri wangekua wengi mno
Sasa hii ni ngumu kuelewa kwa watu wenye imani, kwahiyo wewe fanya unachoona sawa
Bora ujifunze kwa experience
Unajiita yuda alafu ulisaliti mchizi wako kwaji ya vipande 30,wee kavu tu.
Utakula uyesu wako
ahahahahahhahahahahahahahahshhsIngekuwa ni kwa kupiga kazi basi Tz nzima tungekuwa mamilionea. Kila siku tunahenyeka na kazi
Ukute wewe ndiyo ndugu wa jamaa.Maneno ya kimasikin haya...tafta pesa mkuu
Ushawahi kwenda kwa mganga?Imani dhaifu hizo na watu wanapendelea sana huko
Tofauti na sisi wengine hatuna makuu ni kufanya kazi kupata hela na kufufungua biashara zaidi na kuendeleza tu
Kama familia imeweza kuendeleza biashara mpaka wajukuu sasa miaka zaidi ya 70 na bado zinaongezeka bila mganga bali kumuamini Mungu tu
Kila mmoja apambane kivyake tu ila sisi uchawi hapana kwa kweli
Tupo ndugu wengi tu wenye uwezo mkubwa tu lakini tunafuraha na amani
Kuna vijana huwa wanatutania kuwa tuna ndagu ila niliweka 2m kama atamleta mganga anaetufanyia ujinga huo akabaki kucheka tu
Sijawahi hata siku mojaUshawahi kwenda kwa mganga?
Sasa unatoa wapi credibility ya kusema ni ushetani/uongo wakati hujawahi kwenda?Sijawahi hata siku moja
Tena huwa nikiambiwa huyo ni mganga namchana live
Masikini hawanisumbui
Uchawi upo hilo halina ubishi na sipingi ila mimi siufatilii wala kwenda kutafuta ugangaSasa unatoa wapi credibility ya kusema ni ushetani/uongo wakati hujawahi kwenda?
Sawa na kusema chakula fulani sio kitamu wakati hujawahi kukila.
Kwanza, una'contradict kati ya uganga na uchawi.Uchawi upo hilo halina ubishi na sipingi ila mimi siufatilii wala kwenda kutafuta uganga
Hata kwenye vitabu vimeandikwa upo ila tusiufate
Mkuu hapa duniani Kuna mambo mengi ambayo wengi wanafanya lakini wewe unaweza kuwa hufanyi kabisa ila unajua ni mabaya ingawa hujafanya
Kwa mfano ushoga unaweza usiwe ila unajua ni kitu kibaya lakini wapo wanaopenda
Sisi nyumbani tumekatazwa kabisa kuamini haya ingawa yapo na hatuendi kwa mganga hata litokee tatizo gani
Tunamuomba Mungu na kusoma sana simple
Kwani hakuna wasiofuata haya mambo au mimi ndio wa kwanza unanisikia
Mali hulindwa na sadaka na wala sio mganga.Tunaenda kwa mganga kuweka ulinzi wa mali
Asante sana mkuu kwa kuchanganua hivyoKwanza, una'contradict kati ya uganga na uchawi.
Pili, sio kila unachozuiwa kukifanya au ambacho hukifanyi ni kibaya. Kwa muislam, ukristu ni mbaya na ukafir. Ila generally ukweli tunaujua.
Tatu, kama hujui, kwa waganga ni njia ya kumuomba mungu, japo sio kwa njia ya mtume Mohamed na/au Yesu. Sema watu wa dini kwa kuwa mnauninafsi, huwa mnagenerate concepts zenu mnazozijua wenyewe.
Kama wewe umeamua kuwa na Imani fulani, respect wengine na Imani zao coz hakuna mwenye uhakika na Imani yake, utajisijiaje siku ya mwisho (kama ipo) ukaambia freemasons ndio ilikuwa njia ya kweli ya mungu kuliko yeyote ile?
Hakuna aijuae kesho mkuu.
Jidanganye hivyohivyo mimi ninayekuambia ni mfanyabiasharaMali hulindwa na sadaka na wala sio mganga.
Uzi ufungwe hapa, kule ni kutafuta ulinzi tu ili ufanye shughuli zako bila kubuguziwa.Kwenda kwa mganga/kusali hakuleti utajiri,
Unaweza kwenda ukapata, unaweza usiende ukapata, utajiri hauhusiani na imani.
Ingekua hivyo, matajiri wangekua wengi mno
Sasa hii ni ngumu kuelewa kwa watu wenye imani, kwahiyo wewe fanya unachoona sawa
Bora ujifunze kwa experience
Kama wewe ni Mtu wa Imani sana nakushauri usifanye Biashara.Uchawi upo hilo halina ubishi na sipingi ila mimi siufatilii wala kwenda kutafuta uganga
Hata kwenye vitabu vimeandikwa upo ila tusiufate
Mkuu hapa duniani Kuna mambo mengi ambayo wengi wanafanya lakini wewe unaweza kuwa hufanyi kabisa ila unajua ni mabaya ingawa hujafanya
Kwa mfano ushoga unaweza usiwe ila unajua ni kitu kibaya lakini wapo wanaopenda
Sisi nyumbani tumekatazwa kabisa kuamini haya ingawa yapo na hatuendi kwa mganga hata litokee tatizo gani
Tunamuomba Mungu na kusoma sana simple
Kwani hakuna wasiofuata haya mambo au mimi ndio wa kwanza unanisikia
Hayo ni mawazo yakoKama wewe ni Mtu wa Imani sana nakushauri usifanye Biashara.
Ni vigumu mfanyabiashara Kuiona Pepo [emoji24]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app