my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Duh hata kama unalala mwenyewe tu?Wanasema shuka inatakiwa ibadilishwe kila baada ya siku 3[emoji849]
Wanasema shuka inatakiwa ibadilishwe kila baada ya siku 3[emoji849]
Eti ndo wanavyosema ila mm week natoaDuh hata kama unalala mwenyewe tu?
[emoji38][emoji38]kufua mara1 kwa mwez na shuka sipendi kufuasiku tatu siwezi labda kama shuka jeupe. Huo muda wa kufua kila mara sina
Wanani hao wamesema? Na kwa nini tuwaamini? Wao ni akina nani? Na kwanini wanataka kutupangia maisha?Wanasema shuka inatakiwa ibadilishwe kila baada ya siku 3[emoji849]
[emoji38][emoji38]kufua mara1 kwa mwez na shuka sipendi kufua
[emoji23]eti wao ni wachambuzi wa usafi niliskia sijui ni channel gani ina kikundi cha wamama wanaongeaWanani hao wamesema? Na kwa nini tuwaamini? Wao ni akina nani? Na kwanini wanataka kutupangia maisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
KibishiKwa kweli mara moja itapendeza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Mimi siangalii rangi. Sijui White, black, red zote nabadilisha kila week 😂 siku 3 chache sanaEti ndo wanavyosema ila mm week natoa
Kama jeupe ndo naweza nisifikishe 4 maana [emoji2960]
Linawahi chafuka si unajua vumbi ndani sijui hua linatoka wapi hata ufute kila saaMimi siangalii rangi. Sijui White, black, red zote nabadilisha kila week [emoji23] siku 3 chache sana
Watu bado wanahangaikia milo mitatu we unauliza kuhusu kubadilisha shukaMimi nwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi 🤷
Kna huyu dada roommate wangu shuka yke mpk imebadilika rangi. Habadilishi inaeza ikapita hadi mwezi au miezi. Yeye ni kupaka makeup tu na kwenda kwa seminars lkn hpo kitandan analala mpk shuka inanuka.
Je wewe unabadilisha shuka mara ngpi?
Ukimwona mwanamke habadili shuka lake analolalia kila siku,,,,ujue huyo hata chupi yake habadili kila siku...Ewe Mola usinijaalie wanawake wa type hii.[emoji120][emoji120],
Sent using Jamii Forums mobile app