wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Duu..tena umenikumbusha ngoja nikalibadilishe nilikuwa sikumbuki kama linabadilishwaga
Mimi nwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi [emoji1745]
Kna huyu dada roommate wangu shuka yke mpk imebadilika rangi. Habadilishi inaeza ikapita hadi mwezi au miezi. Yeye ni kupaka makeup tu na kwenda kwa seminars lkn hpo kitandan analala mpk shuka inanuka.
Je wewe unabadilisha shuka mara ngpi?