Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,733
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niachage unafiki kwanza sina shuka jeupe sababu najijua
Cha pili nabadilisha pale ambapo litakuwa lishaanza kutoa harafu isiyoeleweka kukaa hata miezi sijalichomoa Hio kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwezi kulinganisha shuka na chupi, yaani nibadili shuka kila siku ili iweje labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh labda kama nyumba yako ni GestiMimi nabadili mashuka kwangu kila siku.
Sio chumbani kwangu tuu ila vyumba vyote nyumbani kwangu.
Kila asubuhi mashuka yanatolewa yanaenda kufuliwa yanatandikwa mengine.
Sawa, mimi ni mchafuShuka.soksi na chupi hivyo vitu ni vyakubadili kila leo..unless uwe mchafu ndio utaweza badili baada ya siku3
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh.....!Wanasema shuka inatakiwa ibadilishwe kila baada ya siku 3[emoji849]
Mie huwa nabadilisha kila baada ya dakika tano!!! yanafuliwa na mshineMimi niwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi 🤷
Kna huyu dada roommate wangu shuka yke mpk imebadilika rangi. Habadilishi inaeza ikapita hadi mwezi au miezi. Yeye ni kupaka makeup tu na kwenda kwa seminars lkn hpo kitandan analala mpk shuka inanuka.
Je wewe unabadilisha shuka mara ngpi?
Hutegemea matumizi ya mtu. Ninarudia hutegemea matumizi a mtu. Kuna siku siku moja tu shuka linabadilishwa. Ninadhani unanielewa, sioni haja ya kufafanua hili sisi ni watu wazimaMimi niwe mkweli, nikiwa hostel nabadilisha mara 1 kwa week. Kla jumapili nabadilisha. Nikiwa nyumban nakutaga tu mama amebadilisha. Sijui huwa anabadilisha mara ngapi 🤷
Kna huyu dada roommate wangu shuka yke mpk imebadilika rangi. Habadilishi inaeza ikapita hadi mwezi au miezi. Yeye ni kupaka makeup tu na kwenda kwa seminars lkn hpo kitandan analala mpk shuka inanuka.
Je wewe unabadilisha shuka mara ngpi?