Kuwa mkweli. Unabadilisha shuka ya kitanda mara ngapi kwa wiki?

Kuwa mkweli. Unabadilisha shuka ya kitanda mara ngapi kwa wiki?

Labda muwe mna chemchem yakumwagilia bustani ambayo inatirirsha maji ty
Inawezekana maana kuna baadhi ya mashamba yanachemchem chini,ukichimba kidogo tu unapata kisima na maji ya kutosha
 
aisee, langu jeusi linaficha mengi
kufua mpaka aje duu, la sivyo mwendo mdundo
 
Nabadilisha Shula kila ninapoingiza koloni jipya room kwangu nasijawahi kufikisha wiki mbili sijaingiza koloni jipya so sidhani kama ishalalia Shuka moja wiki mbili mara mbili nisiku tatu au wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nabadili mashuka kwangu kila siku.
Sio chumbani kwangu tuu ila vyumba vyote nyumbani kwangu.
Kila asubuhi mashuka yanatolewa yanaenda kufuliwa yanatandikwa mengine.
Kwa maisha ya kawaida hapana hiyo mtu anashuka 2 umwambie kila siku unabadilisha mmm bongo hii ni mmoja kwa 10, ila hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maisha ya kawaida hapana hiyo mtu anashuka 2 umwambie kila siku unabadilisha mmm bongo hii ni mmoja kwa 10, ila hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mtu ana muda wala hamna tatizo. Hayo hayo mawili kama anapenda kubadilisha yanatosha.

Napenda sana harufu ya mashuka masafi, kale kaharufu ka sabuni kwa mbali. Nikilalia nasikia raha sana.
 
Back
Top Bottom