Kuwa mkweli. Unabadilisha shuka ya kitanda mara ngapi kwa wiki?

Kinachoamua zaidi ni hali ya hewa....lakini wanaume wanaeleweka kuwa wengi usafi wa kufuafua tuna D. Shuka na bed cover acha tuu...

Ongezea na pillow cover yaani mabaharia watagezea majibu hapa ila ukweli wanaujua wao wenyewe....

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kipindi sijaoa nilikuwa nabadilisha hadi litakapoanza kunukia uvundo.

Sasa mke anabadilisha mara kwa mara sana
 
week mbili mpaka tatu....sasa nimetandika siku tatu zilizopita kuna mjinga kaja jana ananifanya nilitoe mapema nikafue wakati sio ratiba yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni KE au ME?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wiki mara moja, kila j2 kama nalala mwenyewe.
 
Mimi nabadili mashuka kwangu kila siku.
Sio chumbani kwangu tuu ila vyumba vyote nyumbani kwangu.
Kila asubuhi mashuka yanatolewa yanaenda kufuliwa yanatandikwa mengine.
Nyumbani kwako kama hotel
 
Nikiwa mwenyewe natumia 3 kwa week....tukiwa wawili sijui huwa anafanyaje maana mashuka mengi yanafanana nitatega siku moja nione anabadilisha kwa muda gani.

Kwa hiyo mtoa mada unamaliza lini shule mama? Mama aache kukubadilishia mashuka ushakua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…