Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Hujaona shida? Kwa hiyo yy mzuri........... yaani mtoto wa kiume anajisifia yy mzuri...... inawezekana tuna makuzi tofauti, mm crew na watu niliokuwa nao sijawahi kusikia wakijisifia kuwa wazuri....... May be ww labda utakuwa mnamakuzi sawa.
 
Fake it untill you Make it; Never settle for Average ..
 
Hujaona shida? Kwa hiyo yy mzuri........... yaani mtoto wa kiume anajisifia yy mzuri...... inawezekana tuna makuzi tofauti, mm crew na watu niliokuwa nao sijawahi kusikia wakijisifia kuwa wazuri....... May be ww labda utakuwa mnamakuzi sawa.
Ni wapi nimisema mimi ni mzuri? Acha kutunga maneno, mimi nimesema ni mtanashati na nadhifu
 
Wewe si umesema ni handsome, Google hiyo hapo imekupa tafsiri sio mimi, handsome maanake mzuri tena wao wameenda mbali zaidi.........
 
Hujaona shida? Kwa hiyo yy mzuri........... yaani mtoto wa kiume anajisifia yy mzuri...... inawezekana tuna makuzi tofauti, mm crew na watu niliokuwa nao sijawahi kusikia wakijisifia kuwa wazuri....... May be ww labda utakuwa mnamakuzi sawa.
Uzuri sio shida mkuu hata kama ni mwanaume....elewa neno uzuri na sio mambo mengine.
 
Tangazo lako halijakamilika, Picha hujawekaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…