kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
-
- #41
Kwamba unataka kusema nini kuhusu hiyo post?sina imani na watu wafupi mimi
Leo ni siku ya watu wafupi duniani
Eeeeh mbona wengi mmekua matall ghafla🙄 Yani hadi kwenye fake I' d mnajiogopa.www.jamiiforums.com
View attachment 3060440
yeye hendisamu kwa mustakabali wa umbile zuri labda.View attachment 3060437
Haya tafsiri ya Google.
Mtoto wa kiume unatakiwa ujisifie hustling, fighting spirit, fatherhood.
Wewe unajisifia uzuri ndio maana ni kasema,dada zangu wanakazi......
Kwa nini ka nyamwi😂😂Huu Uzi bila picha ni batili.
Nataka ni prove😅Kwa nini ka nyamwi😂😂
Mimi ni mtanashati na napenda kuwa nadhifu, tena sisahau kuhakikisha nanukia vizuri wakati woteWewe umebisha,so nimeenda kukuletea tafsiri...... au nayo unaikataa?....... tena uhandsome kwa mujibu wa google ni sawa na mrembo mimi niliuweka kwenye kundi la uzuri.
Watoto wa kiume mashababi hawajisifii uzuri/urembo.Always mtoto wa kiume anajisifia hardworking, fighting spirit, fatherhood,hustling.
Achana na mawazo ya kiupuuzi ya kike,ww mtoto wa kiume.
Picha siwezi nikawekaHuu Uzi bila picha ni batili.
Use that opportunity to create friendship with benefit and CONNECTIONS sasa. Sio ubaki kubwabwaja tu kuwa huna kitu mfukoni. Neno langu la mwisho kwako TUMIA FURSA KADRI ZIKUJIAVYONimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako.
Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata kidogo. Ukazingatia unadhifu na mavazi mazuri yasiyo na gharama, lakini bado watadhani wewe ni pedeshe.
Hayo yote yananikuta mimi, kila sehemu nikienda nakaribishwa kifalme kwa sababu ya muonekano tu, kumbe mfukoni ni mtu wa hali ya kawaida kabisa.
Am tired of this......
utajickiaje ukiambiwa na mwanaume mwenzio kwamba wewe ni mzuri/handsome?Kwamba unataka kusema nini kuhusu hiyo post?
Picha siwezi nikaweka
Kama fursa nitazipata kwa njia halali, lakini usumbufu mkubwa ni kutoka kwa wanawake, wanadhani mimi nina hela kwaiyo wanataka kuniganda kihuni tuUse that opportunity to create friendship with benefit and CONNECTIONS sasa. Sio ubaki kubwabwaja tu kuwa huna kitu mfukoni. Neno langu la mwisho kwako TUMIA FURSA KADRI ZIKUJIAVYO
Siwezi kujisikia kitu, hayo ni mawazo na mtazamo wake juu yanguutajickiaje ukiambiwa na mwanaume mwenzio kwamba wewe ni mzuri/handsome?
😂😂Kameshiba vitumbua haka
I just knew it ulisema unakaribishwa so I generalised it kuwa mpaka sehemu yenye kujitanua kimaslahi kumbe usumbufu unatoka kwa hiyo jenda, bhas pambana mkuu😀😀Kama fursa nitazipata kwa njia halali, lakini usumbufu mkubwa ni kutoka kwa wanawake, wanadhani mimi nina hela kwaiyo wanataka kuniganda kihuni tu
Vipi umejaziajazia sehemu sehemu pia au?Utajua wewe na hao mashetani wenzio wenye hizo tabia, mimi nimeeleza jambo ambalo linahusu maisha yangu ya kilasiku, na naendelea kufanya mambo yangu
Sikiliza Dogo nikwambie, sio kila Shoga unayemuona/kumsikia alipenda kuwa shoga..Siwezi kujisikia kitu, hayo ni mawazo na mtazamo wake juu yangu
Nikienda sehemu nikiwakuta basi inakuwa kero, wanadhani bosi kafika kumbe hakuna kituI just knew it ulisema unakaribishwa so I generalised it kuwa mpaka sehemu yenye kujitanua kimaslahi kumbe usumbufu unatoka kwa hiyo jenda, bhas pambana mkuu😀😀
Umejuaje hayo bro, au na wewe ulishawahi kuwa shoga?Sikiliza Dogo nikwambie, sio kila Shoga unayemuona/kumsikia alipenda kuwa shoga..