Kuwa mwana CHADEMA, siyo ndoa, kila mmoja anahaki, utashi na maamuzi binafsi!

Kuwa mwana CHADEMA, siyo ndoa, kila mmoja anahaki, utashi na maamuzi binafsi!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Tunashuhudia
FB_IMG_17467767999641692.jpg
baadhi ya viongozi wa Chadema wameanza kuhaha Huku na kule, wengine kumpigia simu mwenyekiti mstaafu kumuuliza, uelekeo wake kisiasa, huku ajenda kuu ya Chama kwa sasa ikiamia katika kujitetea na kukaza moyo, ya kwamba waliwaita kwenye vikao bagamoyo lakini walijibiwa ngoja tumzike kwanza, hapa tunagundua, viongozi wastaafu bado ni hazina kubwa kwa ustawi wa Chadema, lakini pia tukumbuke wanayo haki ya kuachana na chadema chakavu, na kwenda popote pale wanapoona wanaweza kustawisha siasa zao kwa ustawi wa taifa letu, si dhambi, kwani chadema hii haina marefu sana ITAKUFA.
 
Tangu lini wewe umekuwa Chadema?

Kwani ukiwa CCM ndo imekuwa ndoa?
 
Back
Top Bottom